Recent content by Sahel 234

  1. S

    JamiiForums Tanzania Haya mahisa na maUTT yenu Kuna vilio vinakuja, watu hawataamini

    Umeongea vizuri sana mkuu. UTT sio fursa ya kutajirikia...bali kutunza tu pesa. Kuliko uweke hela bank ikaambatana na makato. Kwann husiweke tu UTT ambapo maybe in 1 year utaikuta oesa yako kama ilivyo, au japo imeongezeka kidogo. The same na kwenye hisa, japo kwenye hisa kama bei za soko...
  2. S

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini wenye nyumba Tanzania wanalazimisha kodi iwe miezi mitatu au sita?

    Nature ya wapangaji pia ni changamoto....mtu kila mwisho wa mwezi anaomba kwamba kuna ishu anaisikilizia....so sometimes ni rahisi kwa mwenye nyumba ili kuepuka usumbufu pia ... angalau unachukua kodi ya miezi mitatu na kuendelea...ili kila mtu apambane na mechi zake
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mwanaume rijali yupo tayari kusamehe chochote isipokua kushea tunda la kati, hata kama ndoa itaendelea things will never be the same again

    Ukiimagine zile sauti anavyotoa akiisikilizia utamu kwa mwingine ndo unachoka kabisa ..😀
  4. S

    JamiiForums Tanzania Iran yadai FIFA imefuta Tiketi za mashabiki wake kwa mechi za Kombe la Dunia Marekani

    Sema hawa jamaa si wangekausha tu.....nchi ipo kwa vita bado unahangaika na world cup kwa raha ipi hata mkitokea mmelipata hilo kombe (japokuwa sidhani kama watavuka hata hatua ya makundi)
  5. S

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo mpya wa Usajili wa Madaktari wa HPRS unasumbua sana, MCT nao hawapokei simu zetu

    Nadhani mchango wangu hapa ni kwamba; hii mada ni muhimu sana na naamini wahusika wanapaswa kuifanyia kazi kwa haraka kabla haijageuka kuwa tatizo kubwa zaidi kwa sekta ya afya. Kiukweli hili suala linaweza kuonekana jepesi kwa mtu ambaye ameajiriwa na serikali, kwa sababu mara nyingi anakuwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania KERO Dar: Usalama duni wa watoto wanaoenda kuogelea Jangwani Sea Breeze Beach, nani anawajibika?

    Sehemu wamepangilia vizuri ni funcity kigamboni...wao kuna sehemu ya kuogelea ya watoto na ya wakubwa.....angalau kule pamekaa vizuri...jPo siku za sikukuu pia watoto tu wanamuwa wengi sana japo huwezi kukuta msongamano na watu wazima kama hvyo....
  7. S

    JamiiForums Tanzania Report ya CAG na upotevu wa nyeti wanaume umegundua nini?

    Nadhani ishu hapa nilichojifunza pia ni watanzania wenyewe. Watanzania wanahama sana na upepo na ndio maana hzi story za kijinga zinatrend fasta na kufunika mada za msingi
  8. S

    JamiiForums Tanzania Bara la Afrika ukilichimba kwa ndani limetapakaa utajiri tu, mabeberu wanatamani tubadilishane mabara

    Kama ikitokea tumebadilishana wao wakaja huku africa...basi baada ya miaka kumi au ishirini africa itakuwa tajiri na australia itakuwa masikini.....tutaonba tubadiliahane tena..😆
  9. S

    JamiiForums Tanzania State of Fear: Inside Tanzania's Enforced Disappearances - BBC Africa Eye Documentary

    But haijalishi ni maslahi au vp nadhani walichokiongea ni ukweli na wote tumekishuhudia tokea mwanzo wa hizi awamu mbili. Yaaani ni ukweli uleule ambao tumekuwa tunaishi nao sema tu sasa hv unaongelewa kwa sauti ya kimataifa zaidi. Sasa ishu ya maslahi au la haiwezi kufuta kwamba linachoongelewa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania What Should I Wear While Traveling?

    It depends on the means of transport you’ll be traveling with, but either way, comfort should always come first—without completely sacrificing style. Starting with the upper part, a T-shirt is usually the most comfortable option. Cotton is especially a good choice because it stays breathable and...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ukimfungulia Biashara Mke Wako,Atachepuka Na Wateja Wake

    Kama muislam je?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Orodha ya vijana na kiasi wanachomiliki na umri wao

    Wengi wao ni wadada....ni motivation nzuri...just an observation tu..😀
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ipo Siku Wanaomtukana Matusi Rais Samia Watakuja Kulia Machozi ya Damu na Kumuomba Msamaha

    Kaachq historia..hamna raisi atakuja kuua watu kama alivyoua yeye ...hata ile rekodi ya mkapa na karume kaivunja
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kila la Heri Uganda leo tafadhali tunaomba mtufunge maana vinginevyo Sifa zote zitaenda kwa mama

    Naungana na haya maombi...tufungwe...eeeh Mungu saidia tena iwe kipigo cha mbwa mwitu.
  15. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ‘Mmiliki’ wa mabasi ya Esther: Kampuni imehusishwa kimakosa na wanasiasa. Walivamia na kuchukua fedha, tulipata hasara ya Bilioni 2.1

    Ilivyokuwa inahusishwa na vigogo wa serikalini mbona hakujitokeza kukanusha...avune alichopanda.
Back
Top Bottom