Recent content by Saguda47

  1. Saguda47

    JamiiForums Tanzania Mambo usiyoyajua kuhusu shetani

    Ukiwa huna akili basi hata dini inakuwa mzigo tu.
  2. Saguda47

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Sukari cha Tajiri wa Simba, Mo Sugar, kipo wapi?

    Kabisa, eti MO janja janja, halafu lijamaa lina biashara mamia, mswahili anamjadili tajiri🤣🤣🤣
  3. Saguda47

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Sukari cha Tajiri wa Simba, Mo Sugar, kipo wapi?

    Mnaomdharau MO mna ujasiri gani? Mtu anaijua baishara kuliko watu wa humu jamiiforums, kuagiza na kupaki ni biashara bora zaidi kuliko kuanzisha kiwanda kinachokupa running cost kubwa. Hata wewe unaruhusiwa kufanya hivyo, siyo kuchukulia poa mtu aliyekuzidi halafu unataka umfundishe.
  4. Saguda47

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aiambia mahakama yuko tayari kufa kwa kupigania haki na demokrasia

    Ningekuwa jaji mimi, ningeachia nafasi kuepuka hatia na damu isiyo na hatia mikononi mwangu. Walidhani Lissu atasalimu amri lakini hali ni tofauti. Kiukweli huyu jamaa ameonesha utofauti unaoshangaza wengi. Ustahimilivu, uvumilivu na subra amefaulu 100% . Amini usiamini mzigo mkubwa uko kwa...
  5. Saguda47

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Watanzania sisi ni masikini au hatujui njia sahihi ya kupambana nao, huko Instagram kuna vituko

    Wabongo tatizo hatuwazi vizuri, aliyeenda kupanga apartment ya kodi kubwa kwa hiari yake unamchangia? Halafu baadaye ataanza kuwabeza na kuwadharau hao wachangiaji kwa kuandika broken English mtandaoni😂😂
  6. Saguda47

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kufuga kitambi

    Kwa hiyo kitambi ndiyo uanaume? Acha udwanzi kapige tizi
  7. Saguda47

    JamiiForums Tanzania Kwanini Konyagi za sasa hazileweshi kama zamani

    Huku Mbeya, mikonyagi feki iko kibao, yaani unakunywa kama maji. Hovyo kabisa, mamlaka zinakula pamoja na watengenezaji wa pombe za magendo na feki.
  8. Saguda47

    JamiiForums Tanzania KERO Mchezaji wa Simba anatumia jina langu, ananiambia nikashtaki popote

    Sheria ipi inakuruhusu kumpa mtu jina lako kisha baadae akurudishie? Huoni kuwa wewe ni sehemu ya udanganyifu? Unaumia kwa sababu mhusika anapata pesa ndefu. Pole lakini
  9. Saguda47

    JamiiForums Tanzania Je, Ni Sahihi Kumuadhibu Mke kwa Kumchapa?

    mkishindwana, Kuachana ni suluhisho tosha.
  10. Saguda47

    JamiiForums Tanzania Hakuna wizara ambayo itakufanya kuwa wa ovyo kama wizara ya mambo ya ndani usipokuwa makini

    Taifa letu linaendeshwa na watu wenye ufahamu mdogo sana walio kwenye nafasi nyeti za taifa. Kwa Tanzania maneno " MIKUTANO YA KISIASA" na "MAANDAMANO" taratibu yanageuka kuwa jinai na uhalifu mbele ya watawala licha ya kuwa kinachoitwa " KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA" inayatambua...
  11. Saguda47

    JamiiForums Tanzania Wanangu wa VEGA 100 kueni makini

    Dah! Vijana hawajui tu kuwa wao ni mashine kamili, hakuna haja ya madawa, jiamini ishi kawaida, usikamie wakati wa tendo, relax. Maandalizi muhimu. Ukianza kuokoteza njia mbadala hapo ndipo kujiamini kunapotea na matokeo yake si mazuri. Utaishia kulaumu marafiki kuwa dawa waliokupa haikutoa...
  12. Saguda47

    JamiiForums Tanzania Video: Mtoto mdogo akipigana na baba yake

    😂😂😂😂😂
  13. Saguda47

    JamiiForums Tanzania Video: Mtoto mdogo akipigana na baba yake

    Yeah! Umakini muhimu, angeweza kukutana counter right-hook punch kirahisi ndiyo maana alijiweka mbali kila aliposhambulia😂
Back
Top Bottom