Recent content by safely Ngonya

  1. safely Ngonya

    Uchawi uliong'arisha ulaya ni upi? Tufanyaje?

    Wakati mwingine Viongozi wetu wanashindwa kuwa chachu ya maendeleo ya ujumla wao yao Matumbo afu eti tutegemee kufika huko Kwa mfumo huu Kiukweli ni ngumu sana
  2. safely Ngonya

    Ubora wa simu aina ya samsung galaxy note 3

    Umaskini mbaya sana Yaani unataka kurudi kwenye NOTE 3? Utakutana na simu ambayo sio mpya hata uikute dukani inakuwa imetumika na ikaleta matatizo ikarudishwa China ikarekebishwa na imerudi sokoni kama mtumba NUNUA HATA J4 LAKI 4 MPYA Sent using Jamii Forums mobile app
  3. safely Ngonya

    Serikali fungia hii sketi isivaliwe na madada, tunauziwa mbuzi kwenye gunia

    Dah kwakwel hii sketi sio siri inahamasisha ngono NINGEKUWA NA MAMLAKA NINGEZUIA
  4. safely Ngonya

    Wauza smartphone tukutane hapa

    S6 EDGE inakrek ila iko poa 350k maeneo TUNDUMA 0768448123
  5. safely Ngonya

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nina SAMSUNG GALAXY S6 EDGE imekrek kioo lkn iko poa nahitaji MEIZU nzuri kwa mwenye hiyo tufanye exchange, nipo TUNDUMA
  6. safely Ngonya

    Wasifu wa Bernard Kamilius Membe

    Kichaa ni ziro
  7. safely Ngonya

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    MI nimetumia Meizu nimetumia kama moja ya hizo haujawai kutumia jaribu utaelewa namaanisha nini Kwa mala ya Kwanza niliagiza MI toka South Afrika kuja kishituka kumbe ya kawaida baadae nikaagiza Meizu M2NOTE, nikaitumia mpaka nikaichoka Baadae MEIZU Mx hii ni balaa
  8. safely Ngonya

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Acha kupotosha ndugu UMEWAI KUTUMIA Google pixels? Meizu je? OPPO? Hiyo MI, Huawei na MEIZU zimewai kushindanishwa MEIZU ikawa ndo BABA LAO acha kupotosha kisa ulikuwa unatumia TECNO
  9. safely Ngonya

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Hii kampuni iko vizuri lkn sio saaana Hauwezi kuilinganisha na MEIZU
  10. safely Ngonya

    Samsung zilizofungiwa na TCRA

    Fumba macho nenda kwa mafundi wa mitaani watakubadilishia hata kwa ef15
Back
Top Bottom