Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Yah ni Kweli usemayo vitu vingi vya bei ndogo vina ubora hafifu. Lakini kwa upande wangu kabla ya kununua bidhaa napitia reviews, hii inasaidia kujua ubora wa bidhaa. Kuna hii moja nimeagiza kwa $15, Na ina warranty ya 6 months ikizingua nawarudishia. View attachment 906305
yea ni vizuri kupitia reviews pia...sema procedure zakuwarudishia naona ni usumbufu alf inachukua mda kwahyo ni vizuri kuptia reviews tu kabla hujaplace order
 
Ni simu nzuri sana watu hawajui tu. Mimi niliagiza Beijing 2014, bado chuma kabisa. Niliweka protector kutunza screen ikagoma kufanya kazi ikasema remove protector. Kioo kama kilivyotka dukani mpaka leo. Hakuna mkwaruzo hata kidogo!
Muwekaji wa protector hakuzingatia SENSOR
 
sio kweli Meizu simu zakawaida sana huwezi fananisha na xiaomi bora ungelingansha ata na one plus
MI nimetumia Meizu nimetumia kama moja ya hizo haujawai kutumia jaribu utaelewa namaanisha nini Kwa mala ya Kwanza niliagiza MI toka South Afrika kuja kishituka kumbe ya kawaida baadae nikaagiza Meizu M2NOTE, nikaitumia mpaka nikaichoka Baadae MEIZU Mx hii ni balaa
 
nshatumia Meizu ndo maana nakwambia hvo nlkua na Meizu mx5 ambayo n kubwa kulko hyo m2note...sio simu mbaya ni nzuri lakn sio level hyo ya xiaomi...xiaomi gani ulkua unatumia ww ambayo unasema ni yakwaida?
 
Bro inakua ngumu kumuelekeza kwa hapa ila no yangu hii 0714192765 anaweza kunchek kama bado hajapata au mtu yeyote atakaehtaji nmuelekeze anchek pia...ila ni mitaa ya agrey pale ndo lipo hilo duka la hiyo mmama ana battery nyingi tu za xiaomi brand tofauti tofauti hiyo ya Mi note lte pia nishanunuaga pale kwake na nyingine ya Mi 2s pia
Anauzaje mkuu???
 
Mimi nazisaka hizo bila mafanikio!!
Hiyo link ukiingia Utakutana na hii kitu:- "This product can't be shipped to the selected Country"
Na kule Banggood au eBay wanaiuza Bei ya kuruka
Linganisha kodi ya mwl na bei za ebay na Wengineo. Na kama mpo wengi munaweza kushare shipping cost
 
Angalia kwa wauzaji wengine hapo hapo aliexpress
Mimi nazisaka hizo bila mafanikio!!
Hiyo link ukiingia Utakutana na hii kitu:- "This product can't be shipped to the selected Country"
Na kule Banggood au eBay wanaiuza Bei ya kuruka
 
Hii brand mwanzo sikujua ila nilisikia tu nilivyoenda Nairobi nikakuta infinix ndio zimebamba Kenya kuliko huku kwetu na yangu nilikuta imebaki moja tu redmi 4x Dahhh nikaichek spec zake na bei ilikuwa 370k kwa bei ya kwetu tz nikachukua nimekuja ipenda na nitaipenda saana sababu ni tofauti na Tecno itel samsung HTC. ambazo nimewahi kuzitumia sisemi samsung ni Mbaya Hapana ila vitu ilivyonavyo xiaom sikuwahi kuviona kwanza betri ya mah 4100 haijawahi kupunguza ubora wake. Camera ya mp 13 iko safi kuliko mp 16 za tecno Duall app yaani kila app unaweza kuweka zikawa double, Fingerprint ya ukweli kabisa inayofanya kazi bila kustak app lock, kikubwa tena ni second space hii simu ya pili ndani ya simu moja. Water proof nimetumbukiza sana kwenye maji lakini chombo bado kipo imara. NAIPENDA SANA XIAOMI KWANGU NDIO BORA
Sawasawa, usijaribu kutoka huko ukaamia samsung, hakika hautatamani simu.
 
Yah ni Kweli usemayo vitu vingi vya bei ndogo vina ubora hafifu. Lakini kwa upande wangu kabla ya kununua bidhaa napitia reviews, hii inasaidia kujua ubora wa bidhaa. Kuna hii moja nimeagiza kwa $15, Na ina warranty ya 6 months ikizingua nawarudishia. View attachment 906305
Jina la hiyo betri nimebaki kucheka tu.
 
Kama una budget ya wastani kuanzia 280k-350k. Chukua Xiaomi Redmi Note 4x hautojuta mkuu.
4c5a7cf00d9228ff194e3f8b6c514f64.jpg
Mkuu 250k napata xiaomi gani boss wangu?
Chief-Mkwawa
Chief-Mkwawa
 
Back
Top Bottom