Recent content by saddyy

  1. saddyy

    HAKUNA AKIYEWAHI KUWA TAJIRI KWA KUIGIZA MAISHA YA KITAJIRI

    HAKUNA AKIYEWAHI KUWA TAJIRI KWA KUIGIZA MAISHA YA KITAJIRI Usiishi maisha ya kuridhisha watu katika mitandao kuwa una maisha mazuri wakati sio kweli,tambua hata kama unalala chini basi hayo ndio maisha yako.Yaishi maisha hayo huku ukiwa unatambua kuwa silaha pekee ya kukutoa hapo chini ni...
  2. saddyy

    unakua mke bora unapomsaidia mumeo katika malengo yake ya kimaisha. unampa support wakati hana kitu

    unakua mke bora unapomsaidia mumeo katika malengo yake ya kimaisha. unampa support wakati hana kitu mfukoni. wamsaidia kupata mafanikio. wacha kumkera na mambo asoyaweza. ridhika na akupacho. mtie nguvu na umsifu wakati mawazo yamemzonga. kuwa naye bega kwa bega asijihisi mpweke. mkumbushe...
  3. saddyy

    Je, unajua kwanini ndoa hazidumu? Kwasababu wanawake wanapenda harusi

    JE, UNAJUA NI KWANINI NDOA HAZIDUMU? Ndoa hazidumu kwa sababu kabla ya kufunga ndoa watu wanakuwa Obssesed na Wedding Ceremony Imaginations, bila kujua ndoa inaenda mbali zaidi! Kuna ndoa na kuna harusi.Wengi mnapenda zaidi harusi, na mnapowaza ndoa picha inayowajia ni Suti kali, Boonge la...
  4. saddyy

    Maongezi Ya Madada Wawili Waliokuwa Ndani Ya Gari Linaloenda Mkoa

    Maongezi Ya Madada Wawili Waliokuwa Ndani Ya Gari Linaloenda Mkoa Yalikuwa Hivi Da 1: Hivi wewe unapenda kuolewa na mwanaume gani? Da 2: Namtaka BILLIONEA Da 1: Je, Ukimkosa? Da 2: Bas MILLIONEA Da 1: Na Huyo Usipompata Da 2: Basi Laki Tano Kuna Jamaa Aliamka Na Kumwambia Mwenzake...
  5. saddyy

    Tabia za wachepukaji

    WACHEPUKAJI WENGI WANATABIA HIZI 1.Hachezi mbali na simu yake kila wakati. 2.Inbox na sending items hufutwa kila wakati. 3.Ukimuomba simu yake ghafla lazima akwambie hebu kwanza. 4. Kamwe haiiti always vaibration. 5. Namba nyingi ha save. 6. Kuna simu hapokei hata iweje anapenda sms zaidi...
  6. saddyy

    Tusipende kutoa hukumu kwa vitu usivyovijua

    Tusipende kutoa hukumu kwa vitu tusivyovijua. Wakiwa katika garimoshi kuelekea Kigoma jamaa wa karibu miaka 28 akamwambia baba yake Jamaa: Baba angalia miti inavyokimbia kwa kasi sawa naiona mwanangu Lakini kuna mwanamama alishangazwa sana na kauli ya yule jamaa kwa kuwa ni mkubwa sasa...
  7. saddyy

    Ukumbusho

    Ndege anapokua hai huwa anakula sana wadudu, lakini anapokufa wadudu humla yeye maisha yanabadilika kila wakati, kwa hiyo usimdharau wala kumuumiza mtu yoyote katika maisha yako, unaweza ukawa imara sana. Lakini kumbuka dunia ni imara kuliko wewe, mt mmoja unaweza ukatengeneza mamilion ya...
  8. saddyy

    I need a friends to chart with on whats app,comment ur no# i will text you.lets share pics & videos

    I need a friends to chart with on whats app,comment ur no# i will text you. lets share pics & videos welcome!
  9. saddyy

    Mambo ya kufanya ili usimchoke mke wako

    Mambo ya kufanya ili usimchoke mke wako; 1. Kuwa na ratiba maalumu ya kufanya tendo la ndoa na sio vurugu vurugu au kila wakati. 2. Mpendezeshe mkeo kwa mavazi na chakula bora kwani atakuwa na siha(afya) nzuri na hivyo kumona mpya. 3. Jambo la muhimu kuliko vyote ni maneno mazuri juu ya...
  10. saddyy

    Je, ungekuwa wewe ungefanyaje?

    Upo kazini umeacha familia yako nyumban mara gafla unapigiwa simu, kutazama unakutana na namba ngeni na kuamua kuipokea ndipo unakutana na sauti ya msichana ya kuvutia lakini kabla hajasema shida yake anaamua kukata ile simu.Unashikwa na hamu ya kujua ni nani ka hali ya mchepuko kanakujia ghafla...
  11. saddyy

    A good entrerprenual is born or made?

    Help me on that
  12. saddyy

    Hivi wivu unanafasi gani katika mapenzi?

    Wakuu, Naomba mnisaidie katika hili, hivi wivu unanafasi gani katika mahusiano ya kimapenzi? Inamaanisha akiwa na wivu juu yako ni kwamba anakupenda sana au maana yake ni nini?
  13. saddyy

    Je, unajua ni kwanini ndoa hazidumu?

    Je! UNAJUA NI KWANINI NDOA HAZIDUMU?? Ndoa hazidumu kwa sababu kabla ya kufunga ndoa watu wanakuwa Obssesed na Wedding Ceremony Imaginations, bila kujua Ndoa inaenda mbali zaidi! Kuna Ndoa na kuna Harusi...Wengi mnapenda zaidi harusi, na mnapowaza Ndoa picha inayowajia ni Suti kali, Boonge...
  14. saddyy

    Je, unajua ni kwanini ndoa hazidumu?

    Je, unajua ni kwanini ndoa hazidumu? Ndoa hazidumu kwa sababu kabla ya kufunga ndoa watu wanakuwa Obssesed na Wedding Ceremony Imaginations, bila kujua Ndoa inaenda mbali zaidi! Kuna ndoa na kuna harusi. Wengi mnapenda zaidi harusi na mnapowaza ndoa picha inayowajia ni Suti kali, Boonge...
  15. saddyy

    Kama unabisha jaribu

    hahahaaaaa@rubii
Back
Top Bottom