Recent content by Sadby King Jr

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tumeshindwana na aliyekuwa mpenzi wangu, nimempeleka mahakamani, sasa anaomba msamaha

    Duu hii safi ila haijabalance ungetakiwa kuomba ushauri kabla ya kila kitu kuisha Ila Hongera God knows
  2. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuoa sikuacha kuchepuka, ila nilibadilisha style ya uchepukaji

    Hapo umenena vyema Nzi Chuma tuko pamoja na umeeleweka
  3. S

    JamiiForums Tanzania Swimming Pool ya kwanza kujengwa Mbeya.....

    Duu hawa jamaa wapewe somo la nguvu la sivyo watazoa ukirutu humo balaa
  4. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

    Upumzike kwa Amani
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tukiyahitaji maisha ya Libya enzi ya Gaddafi, hatuna budi kumpa nafasi zaidi Rais Magufuli

    Acha uongo wewe haiwezekani kamwe
  6. S

    JamiiForums Tanzania Chidi Benz arudia madawa ya kulevya, Babu Tale aapa kutomsaidia tena!

    Huyu jamaa jeuri sana na kujifanya much know Kwa style hii amekwisha totally kesha kuwa Trolley
  7. S

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Neno la shukrani kwa wote

    Penye haki ukweli hujitenga na kama ilivyo sheria ni vigumu kuioindisha hasa ikiwa iko ndani ya karatasi. Tuko pamoja kwani Mungu ni mwema. Ahsante sana
Back
Top Bottom