Recent content by sacred wall

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tanga na jua kali kunani? Ni laana? Hii siyo kawaida

    Jamani Tanga kunani? Mbona juakali linaua viumbe? Ukame tena jamani! Kalinyesha ka mvua kidogo tukapata majani kidogo, sasa ni jua kama la tanuru la Moto.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kuna sababu gani Tundu Lissu kukaa kimya kabisa kwenye kesi ya Ugaidi ya Mbowe?

    MUSHAIJA WA HOVYO KABISA! ULITAKA AFANYEJE? KUBWABWAJA NDIO KUSHINDA KESI? KUBWABWAJA NDIYO KUONEKANA UKO CONCERNED? DO YOU KNOW THE INSIDE STORY WHICH IS GOING ON AMONG TOP CHADEMA LEADERS. STOP THIS NONSENSE PLEASE
  3. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanaamini ikipatikana Katiba mpya CCM itaondolewa madarakani kidemokrasia kitu ambacho siyo kweli

    johnthebaptist, hwa nakuona kama mtu sensible kukubali ukweli kama Polepole alivyokuwa anakubali kuwa panapo uchaguzi wa huru n haki CCM ijiandae kukabidhi dola. Kweli unadhani kama kuna uchaguzi wa huru na haki (at least tume huru tu yenye composition ya vyama vyote...) CCM itasimama? Uwe...
  4. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza kumwaga mishahara kwa watendaji wake wote kuanzia ngazi ya chini Kabisa

    Risasi 38, vifungo, vifo vya akina Azory, Ben , Mawazo... bado kinapaa, watu hawaogopi wala hawakati tamaa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza kumwaga mishahara kwa watendaji wake wote kuanzia ngazi ya chini Kabisa

    actually Jiwe ameijenga sana CHADEMA maana watu waliiona CHADEMA kama mkombozi wao, hivyo ikajengeka mioyoni !
  6. S

    JamiiForums Tanzania Makongoro Nyerere jifunze kutoka kwa Chalamila, punguza Masihara

    exactly, nami nimeandika hivyi twita mchana huu! Uko sahihi kabisa. Hakuna nia ya kusema watu waje na mabango ya kumtukana Rais, alimaanisha kama wana grievancies na yeye kama RC , basi hata mabango ya matusi waje nayo tu!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    DDM imepangika?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Punguzo la faini kwa bodaboda na bajaji: Serikali imejiridhisha kuwa halitaongeza vurugu na ajali barabarani?

    Nina uhakika Lisu angelikuwepo angetafakari zaidi kabla ya kushangilia. Line yako ya reasoning ni sahihi kabisa.."kutisha" kunasaidia ku deter others from committing the same mistake
  9. S

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Mambo ya kulazimisha.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Punguzo la faini kwa bodaboda na bajaji: Serikali imejiridhisha kuwa halitaongeza vurugu na ajali barabarani?

    Ndiyo CCM, hakuna wasichoshangilia. Lolote as long as limetoka kwa mwenzao watashangilia. Ukisema kuku amezaa kifranga watashangilia wakati wanajua kuwa kuku hawezi kuzaa kifaranga bali anataga mayai. Ndiyo CCM
  11. S

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya chuo vilivyo chini ya NACTE kwa mwenye cheti cha form 4 na form 6

    Sijapendas kauli zako. Nikikujibu ipasavyo nitafungiwa maana nitakujibu kwa lugha chafu kama uliyotumia au kuzidi. The best way forward is to get you blocked!
  12. S

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya chuo vilivyo chini ya NACTE kwa mwenye cheti cha form 4 na form 6

    asante sana. Nimepata maelezo mazuri. It means cheti cha form 4 ndicho wanatumia katika selection na si F6.
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bajeti ya Kenya ni zaidi ya mara mbili ya Tanzania, Wabongo wanazidi kukwama sana

    Waziri mwenyewe nchemba..ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Back
Top Bottom