Recent content by sacobanja

  1. sacobanja

    Wema Sepetu kwaheri, anachukuliwa hadi na Msukuma!

    Aende akamkope diomond ili aweze kulipa
  2. sacobanja

    Hivi wanawake mmezaliwa na genes za kuomba hela?

    Hawa wanawake huwa siwaelewi kabisa naona wanaona kama mwanaume ni kiwanda cha kutengenezea hela eti umemtongoza Leo kesho anaomba hela
  3. sacobanja

    TAMU NA CHUNGU YA KU-DATE NA MABINTI WA USWAZI vs WA-KISHUA

    Pia hao wa kishua wao wanawaza waleti inasoma siyo huo mchezo
  4. sacobanja

    Yamenifika hapa! Nimeenda nje ya nchi kusoma, kanitumia ujumbe kapenda mwingine

    Hiyo safari ndio Mungu alikuepushia matatizo achana naye
  5. sacobanja

    Tafadhali kama Unazo Habari za Huyu Mama Naomba unijulishe

    Ww unamtafuta make wa MTU utafungwa
  6. sacobanja

    Nipo njia panda

    Na ww tangaza ndoa ya pili
  7. sacobanja

    Hili la shule binafsi linanishangaza

    Ndio ufisadi huo
  8. sacobanja

    Lengo ni kuangalia TV au?

    Soma alama za nyakati ww unataka mpaka akutamkie
  9. sacobanja

    Unakimbilia ndoa lakini ulishawahi kuhongwa au kuhonga?

    Ila kizazi hiki cha nyoka ni balaaa wabinti yaana hawajali ndoa zao wana waza starehe tu
  10. sacobanja

    Je, umetozwa nauli kubwa kwenye basi kuliko umbali unaokwenda?

    Hapa kazi ila makondakta wajanja KWELI eti Njombe to Mikumi unalipia nauli ya Dar sasa wataisoma namba
  11. sacobanja

    Moyo unauma, nahitaji ushauri wenu wana JF wenzangu

    Hizo ndio faida za kusomesha mchumba
  12. sacobanja

    Kampuni ya Silent Ocean China hawapokei tena lose cargo, wanapokea makontena tu

    Hapo hakuna ujanja zaidi lazima muungane
  13. sacobanja

    Nimepata nafasi ya kwenda kusoma, mke wangu kanuna hataki kuniongelesha

    Inahitajika maombi kwani shetani kajiinua
Back
Top Bottom