Recent content by saci

  1. saci

    JamiiForums Tanzania Kama kijana kabla haujafika miaka 35 tambua haya mambo kumi na moja yafuatayo ili usiishie mhanga wa kulalamika na kujutia

    Umeongea mambo mawili yanayoashiria uwezo mkubwa sana wa wa kiakili 1. Hakuna jambo lolote la kiroho linalo control maisha yako. 2. Mwenye mamlaka ndio anaetunga sheria.
  2. saci

    JamiiForums Tanzania Eboué: Jinsi Mapenzi Yalivyomfilisi Star wa Arsenal

    Tunajifunza kwa uzoefu, bahati mbaya muda haurudi nyuma.
  3. saci

    JamiiForums Tanzania Je, watetezi wa wanyonge apa bongo kama Toyota, Land rover, BMW nk wana magari spacial ya gesi?

    gari linachoma hydrocarbon, cha kuangalia ni viscosity na volatility, ukizicompress propane na butane zinachomwa zinawaka gari inatembea.
  4. saci

    JamiiForums Tanzania Ipi ni nyimbo yako Bora ya muda wote?

    Just to see you smile - Tim McGraw
  5. saci

    JamiiForums Tanzania Nitaendelea kuwalaumu wakoloni kwanini hawakusisitiza elimu kwa mtu mweusi ila waliona dini ndio muhimu?

    Walipandikiza dini ili watutawale kwa muda mrefu bila kutumia nguvu. Watu wenye uelewa wa kawaida wanafuata mfumo ulivyo, wanauamini na hawahoji. Wachache wenye akili nyingi kama mtoa mada wanahoji.
  6. saci

    JamiiForums Tanzania Car Service Episode 6/10: Spark Plugs na Ignition Coils!

    Elimu nzuri, endeleza somo
  7. saci

    JamiiForums Tanzania Je, nichukue hii Samsung Galaxy A 14?

    Inategemea na mahitaji yako
  8. saci

    JamiiForums Tanzania Naombeni muongozo wa kupima DNA

    Upo sahihi mkuu, kama mtoto ni wako lazima kuna kitu atachukua upande wako.
  9. saci

    JamiiForums Tanzania Tunauza Bidhaa za Solar na Tunafunga Solar System

    Asante nitakupigia
  10. saci

    JamiiForums Tanzania Tunauza Bidhaa za Solar na Tunafunga Solar System

    Laptop 90w Spika 30w
  11. saci

    JamiiForums Tanzania Tunauza Bidhaa za Solar na Tunafunga Solar System

    Mkuu Kwa matumizi ya kuchaji simu, kuchaji laptop, taa na sabufa unashauri ya ukubwa gani?
  12. saci

    JamiiForums Tanzania Tunauza Bidhaa za Solar na Tunafunga Solar System

    Na linadumu mda gani?
  13. saci

    JamiiForums Tanzania Tunauza Bidhaa za Solar na Tunafunga Solar System

    Mkuu battery la 100ah kavu ni bei gani.
  14. saci

    JamiiForums Tanzania Tukiachana na Flagship phones, nipe ushauri wa Mid range smartphones ukitoa Tecno na Infinix!

    Mkuu kati ya redmi 10 na redmi 10c ipi bora?,
Back
Top Bottom