hakuna simu chin ya lak 3 iache kua ya kawaida maan itakua imewekwa chipest materialsKwanza kwenye camera tu wameboronga..japo katika zile the most sold smartphone kwa mwaka huu na hii A14 ipo..ni ya kawaida sana.!
Nawewe nikuulize je kwakuwa unatumbo ndiyo ule ovyo tu kila kitu, unajisikiaje unapokuwa umevimbirwa?sas kazi ya simu ni nini kama sitakiw kujaza vitu?
Hio 370k unapata pixel 4a nzuri kabisa jiwe kwa picha na high performance…nenda kariakoo utaipataSalam,naomba ushauri wenu,je Samsung hii inasumbuaga au zina historia mbaya?
Hapa duka x nimeambiwa Hiyo Ram 4 internal storage 64 sh 370,000 TZS.
View attachment 2820993
Simu Kali sana sema tu watu hawazipendi muonekano wa UI yake ila Pixel ni unyama sanaHio 370k unapata pixel 4a nzuri kabisa jiwe kwa picha na high performance…nenda kariakoo utaipata
Kwa ulivyozoea infinix inatunza chaji itabidi ukihamia pixel uwe unatembea na chaja yako.Google Pixel?
Mkuu hizo simu mpaka 300k zunguka maduka mengi kariakoo kila mtu wingaGB 4 Ram 64 nimeambiwa 350,000 TZS
Nunua PCsas kazi ya simu ni nini kama sitakiw kujaza vitu?
😂 😂 😂 😂 😂ukihamia pixel uwe unatembea na chaja yako.