kuna mtu anahitaji msaada wangu na nahisi siwezi kumshauri vizuri sana kutokana na itikadi zangu dhidi ya wanaume.
Huyu dada kanijia, alikuwa na mpenzi wake wamekaa wote kwa miaka 2 na walikuwa vizuri tu, mwaka huu May uliibuka mjadala kati yake na huyu kijana kwamba anataka amzalia mtoto...
We angalia ikama inasemaje, vipindi 24-32 kwa wiki so vikizidi mwambie mkuu wa shule atafute mtu. Shulen4 kwangu tuna mwalim 1 wa maths hvyo anafundisha madarasa ya mtian4 2&4 bs. Jiongeze mwayego
Zeroseventytwo coca cola ina kitu kama addiction miaka ya nyuma nilikuwa nakunywa koka bonge 2 kila siku, na ikitokea sijanywa nakuwa anxious sana. Sikumbuki niliachaje bt after one day kukatiza usiku wa matisa kwenda kutafuta coca, nlipomaliza kuinywa ndo fahamu zikarudi nkajikuta naogopa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.