Recent content by sabra

  1. S

    Vuvuzela originali

    Adamu na hawa katika shamba la edeni walikuwa uchi na maisha yalienda kama kawa. Walipotenda dhambi tu, wakajikuta na aibu na kutafuta matawi. Tunavaa nguo kwa sababu tuna dhambi..... Ni vema tujiachie na mavuvuzela yetu, ni ishara ya uwazi na usafi wa asili. Mnaonaje?
  2. S

    Vuvuzela originali

    Samahanini wakuu, nimepost tena upya.. mkajionee wenyewe.
  3. S

    Vuvuzela originali

    That is the original vuvuzelas, sorry previous post with no attachment. Regards
  4. S

    Vuvuzela originali

    Kazi kwenu
  5. S

    Faida za ulaji wa pilipili kwa mwili wa binadamu

    Pilix2 tamu ikiingia mwilini lakini ikitoka blaa!! Pia ni silaha ya kuzuia majambazi usiku, unawatupia machoni hafu unasikilizia muziki wake!!! Thenks sana
  6. S

    Kenya ranks up there as a failed state....WOW!!!

    DUH! SIKUJUA KAMA UKWELI UNAUMA HIVYO; MAANA HAYO MATUSI YA NINI? THANKS AB-Titchaz for this useful nyuz!!!!
  7. S

    Kiswahili kwenye kompyuta!!!

    Hii kasheshe, Inabidi tukasome kiswahili cha komputa... msamiati unatisha. Du, kama namba nane; Mtazamo Ulioharakishwa (Outlook Express); pengine ingekuwa 'mtazamo wa nje.....'
  8. S

    Jinsi wageni watakavyo leta vita Tanzania!

    Hawa wageni wanapora nchi tu. Wanapora na kuwekeza kwao. Jamani, jamani tuwe na uchungu na nchi yetu! Naamini hata iweje mtz hawezi kupata ajira huko kenya. Watafanya juu chini apate mkenya...lakini hapa bongo mmmmmm!!
  9. S

    Gwajima wa kanisa la Ufufuo na ving'ora barabarani

    Siku hizi wahubiri wengi wanafanya biashara na waumini, Wanauza injili kwa sadaka. Wanawakamua kondoo (washirika) bila aibu. Hata Benny Hinn ana kashfa kubwa ya kuwa nabii wa uongo. Kwa maoni yangu, watu wasome maandiko yanavyosema na kuyafuata na sio kuwafuata wahubiri matapeli. Ni maoni tu.
  10. S

    Dedicated to Nyani Ngabu: Book on How the Internet is making us Stupid!

    Re: Dedicated to Nyani Ngabu: Book on How the Internet is making us Stupid! Hivi Huyu mlengwa ndo kazi yake kukesha kwenye internet au maanake nini? Ninachosema ni kwamba kila kitu duniani kina sura mbili, wema na ubaya. Internet imewezesha dunia kufika ilipo ki maendeleo. Kwa upande wa pili...
  11. S

    Mchumba huyo

    Ukionja mara moja tu utaiona hiyo sura kama malaika, usiombe; Mungu hakunyimi kotekote!!!!
  12. S

    Mchumba huyo

    Bahati ya mwaka Fidel80, ukimpata atakuwa wako tuu, Hakuna mwizi hata mmoja atakae kudokolea!!. Mimi ninaye mdogo mtu!
  13. S

    Golikipa wa Ukweli.

    Mie namkumbuka kaseja, Ni bora mara 11
  14. S

    Mchumba huyo

    Anazo za kumwaga, na kisses swaaafi. Ni Demu, Tumeni maombi ya uchumba maana bado ni singo!:A S tongue:
Back
Top Bottom