Sasa hapa blaza ulitaka nani atoke nani aingie?
Kama ni Samia Suluhu yeye ni rais wa nchi kwa vyovyote huwezi kumuweka pembeni
Kama ni Hussein Mwinyi huwezi mkwepa yeye ndio Rais wa Zanzibar
Karume yeye na Nyerere ndio maana halisi ya Muungano kwa vyovyote lazima wawepo sasa hapo nikuulize...
Aliokoa sana Jahazi darasa la saba mpaka mwenye piont 90 alienda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 2012 walipanga matokeo kwa njia ya B.R.N kwenye mwaka wetu wakafuta wakatuwekea div four mpaka 40[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah kusoma na watoto...
Oya huyu dogo katupindishia sheria sana si tuliosoma nae mwaka mmoja[emoji23][emoji23][emoji23]darasa la nne kurudia kulifutwa,darasa la saba kukawa kuna second selection mpaka awamu ya tatu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]form two kurudia kukafutwa,form four kulikua na div...
NMB Handeni Tanga kuna kadada flani keusi nywele hakaja suka kamepaka dawa kanaringa sana ukifika akuhudumie unatakiwa kila kitu uwe unakielewa ukimuuliza atakupa jibu baya na hana time na wewe kiufupi anadharau sana kila nikifika handeni nikihitaji huduma ya ndani naishiwa nguvu kabisa...
Mimi ni mfanya biashara wa kawaida nahitaji mwanasheria/wakili msomi wa kujitegemea Mwenye sifa zifuatazo;
Awe mkazi wa Tanga
Awe mzoefu na masuala ya mahakama asitafutie uzoefu kwangu.
Awe Mwenye kujiamini zaid asitetereke wa kutikiswa na aina yoyote ya kesi.
Mawasiliano +255712331257...
Ndugu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza mmiliki wa kampuni ya ulinzi ya THE NEW MILLENIUM SECURITY SERVICE CO.LTD anahitaji kuongeza share holder wawili kwenye kampuni yake.
Kampuni ina makao makuu yake jijini Tanga na matawi sehem tofaut tofaut.
Mmiliki wa kampuni anatanguliza shukrani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.