Sabih kilimo
Member
- Feb 10, 2019
- 54
- 30
Ndugu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza mmiliki wa kampuni ya ulinzi ya THE NEW MILLENIUM SECURITY SERVICE CO.LTD anahitaji kuongeza share holder wawili kwenye kampuni yake.
Kampuni ina makao makuu yake jijini Tanga na matawi sehem tofaut tofaut.
Mmiliki wa kampuni anatanguliza shukrani kwenu na uchangamkiaji mwema kwa fursa hii.
Kwa mawasiliano zaidi
+255712331257
Kampuni ina makao makuu yake jijini Tanga na matawi sehem tofaut tofaut.
Mmiliki wa kampuni anatanguliza shukrani kwenu na uchangamkiaji mwema kwa fursa hii.
Kwa mawasiliano zaidi
+255712331257