Recent content by Saas

  1. S

    JamiiForums Tanzania Angalieni Basi Mavazi Yenu Namna Hii Vichupi Wazi...

    Mhh...Haya
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

    Wewe nawe hauna hoja, serikali ya CCM ina magari yenye thamani ya trilioni 4 hizo zote ni kodi zetu wananchi sitakuwa na tatizo na Mbowe kama hilo VX kanunua kwa hela yake mwenyewe
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

    Wewe banaa hata kujieleza haujui ndio maana walikupiga chini kwenye Ubunge EAC....kwahiyo unataka nyumba aliyoishi Savimbi ndio Mbowe waishi hivyo hivyo ni sawa sawa uwe na hela mfukoni badala ya kupanda daladala eti unatembea kama kielelezo cha kubana nauli...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

    I never knew you were this empty headed and very shallow upstairs...huko unakosema kuchelewa kufika uwanjani sielewi una mantiki gani maana naona ni porojo kama za kwenye vijiwe vya kuuza kawa pale kariakoo labda kama na wewe umeanza kukaa kwenye hivyo vijiwe sawa. Kama msafara wa Mbowe...
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I Am Ready To Loose My Virginity At 70...

    Duh!!! Huyu bibi sasa khaaa..lol..
  6. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Battery Ya Blackberry Bold 9780

    Msaada natafuta battery ya Blackberry Bold 9780 ninayotumia haikai na charge muda mrefu mwenye kuwa nayo naomba tuwasiliane ili nijue bei ni shilingi ngapi pia waweza kuni PM. Asanteni
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waraka wa wazi kwa The Finest.

    Bishanga Abashaija yaani nimecheka kweli baada ya kusoma huu waraka
  8. S

    JamiiForums Tanzania Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi jimbo la Segerea

    Hii kesi Chadema wameishaliwa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mwanza city pictures

    Mwanza...Rock City i love my home town
  10. S

    JamiiForums Tanzania Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi jimbo la Segerea

    Mkuu sijui kwanini lakini nina wasiwasi sana ka Chadema kushinda hii kesi anyway let's keep our fingers crossed
  11. S

    JamiiForums Tanzania Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi jimbo la Segerea

    Huyu Mahanga atashinda hii kesi mtaniambia...ila itabidi tukubaliane na uamuzi wa Mahakama kama ilivyokuwa Singida, Sumbawanga na kwingineko
  12. S

    JamiiForums Tanzania Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi jimbo la Segerea

    Mkuu nami nilitaka kugusia hili ulilolisema maana kuna watu wameishajihakikishia kuwa wao watashinda hii kesi
  13. S

    JamiiForums Tanzania Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi jimbo la Segerea

    Mkuu mimi sio mshabiki wa chama chochote kile lakini kwa jinsi hali ya kesi ilivyo na CCM wanavyojua kuchezesha karata zao utaniambia hapo baadae maana huyu Makongoro Mahanga ni mjanja mjanja sana.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi jimbo la Segerea

    Mkuu wewe ndio jaji?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi jimbo la Segerea

    Kuna kila dalili kuwa Makongoro Mahanga itashinda hii kesi.
Back
Top Bottom