Angalieni Basi Mavazi Yenu Namna Hii Vichupi Wazi...

Saas

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
268
76
Mnh! jamani walimbwende wetu kweli tunapenda mpendeze ila angalieni bas mavazi yenu namna hii vi.jpg

Mhh...Haya
 
baadhi ya kina dada wanaona wanakwenda kisasa wakati ni mmomonyoko wa maadili!
 
baadhi ya kina dada wanaona wanakwenda kisasa wakati ni mmomonyoko wa maadili!
Siyo mmomonyoko wa maadaili tu mkuu, bali wameingiwa na mashetani na mapepo wabaya. Wanahitaji kuombewa ili wamrudie Bwana.
 
Back
Top Bottom