hivi igunga nako kuna kesi tena
Naamini haki itatendekaaa!!
Mkuu mimi najiandaa kucheza Ngwasuma tu, jogoo awike au asiwike lakini lazima kutakucha tu hatimaye leo Segerea tunapewa haki yetu.naona hata update hakuna ila ni kelele tu.....nimemkumbuka ISANGO gafla.....ila jiandaeni sana hasa wewe Matola
Wakuu mimi nimeamka na uchovu wa jana wa kusherehekea kutokupanda kwa mishahara! Hapa Arusha tunasubiri kwa hama sana Updates kutoka huko mahakamani.
Na Updates zilizopo hapa Arusha ni kua ile kesi ya kumvua ubunge muheshimiwa Lema wao wenyewe CCM baada ya kutafakari kwa kina ili isiikubali ile rufaa ya Chadema hapo awali eti ni kua wamekaa na kutafakari na wakaiomba mahakama ikubali rufaa ile na katika kusikiliaza rufaa hiyo basi mahakama ikubali na kuurudisha ubunge wa Lema kuepusha garama za uchaguzi huku wakijua kua hawatashinda hata kama Chadema wakasimamisha jiwe! Kwa hiyo Update nilizonazo ni kua Lema lazima ubunge wake arudishiwe.
sio itendeke tu bali ionekane kutendeka
Hukumu ya Kesi inaanza saa ngapi
Duwa lako liwe zuri au baya haliwezi kubadilisha chochote hukumu ilishaandikwa leo ni kusomwa tu. kwa kifupi maamuzi ya Jaji yameshafanyika.Mungu isaidie chadema
Nasubiri kwa hamu Makongoro apigwe chini ili nikakeshe baa.
Mkuu mimi najiandaa kucheza Ngwasuma tu, jogoo awike au asiwike lakini lazima kutakucha tu hatimaye leo Segerea tunapewa haki yetu.
ccm chama makini sana, hyo kesi leo wanashnda bila shaka, CDM nawapa pole mapemaaaaa, kwanza kesi yenyewe haina mashiko kabsaaaa poleni nduguzangu CCM ipo juuu achen unafki jaman.
Mkuu wewe ndio jaji?Duwa lako liwe zuri au baya haliwezi kubadilisha chochote hukumu ilishaandikwa leo ni kusomwa tu. kwa kifupi maamuzi ya Jaji yameshafanyika.
Pole sana, zile elfu kumi kumi anazowapa kwa njaa zenu leo ndio mwisho wake arudi kwenye ajira yake ya zamani shirika la Nyumba.Kuna kila dalili kuwa Makongoro Mahanga itashinda hii kesi.
Baada ya muda nitatoka (sign out) kwenda kumpeleka mtoto wangu shule nikifika kazini nitakuwa hewani kufuatilia kinachoendelea mahakamani...... Huku Tabora jamaa zangu wa CHADEMA wanasubiria kwa hamu kuhusu hukumu hiyo....
Kuna kila dalili kuwa Makongoro Mahanga itashinda hii kesi.