Recent content by saa tisa

  1. S

    JamiiForums Tanzania Timu ya ushindi UKAWA yavurugana, wadai kuna wasaliti miongoni mwao

    Juliana unaitamani sana ukawa,,huko uliko hata hawatambui uwepo wako.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mgawanyo huu wa wapiga kura, Lowassa kumshinda Magufuli ni ngumu

    Sioni unachosema
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mgawanyo huu wa wapiga kura, Lowassa kumshinda Magufuli ni ngumu

    Tusubiri tar 25,utajua vijana tumejiandikisha au hatukujiandilisha.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Vijana wamesimamisha Msafara wa Magufuli

    Vijana wamemsimamisha mgufuli njiani,alafu wamevaa sare wote.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Regina Lowassa ni mwanamama wa mfano, mke bora

    Ulitaka alale home
  6. S

    JamiiForums Tanzania UKAWA: Hesabu za kura hizi hapa - Usisubiri mpaka 25 Oktoba 2015

    Mbona hujazungumzia waliohama?pia na wanaomuunga mkono Lowasa lkn bado wako ccm?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Vijana wazalendoCHADEMA wamkataa Lowassa

    Hao sio vijana wa Chadema,Bali ni vijana wa Masaburii
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ni Nini Hatma ya Ndoa ya Gwajima + Lowassa na UKAWA kwa Taifa Letu?

    Unaulizwa nyie ccm hamna sera?kila siku lowasa lowasa,,,au lowasa na hao unaowataja ndizo sera zenu?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ni Nini Hatma ya Ndoa ya Gwajima + Lowassa na UKAWA kwa Taifa Letu?

    Ccm mnabwabwaja tu kwa hamna Sera?tutawapima kwa sera sio kwa habari za kufikirika
  10. S

    JamiiForums Tanzania Sababu 10 tu kwanini Magufuli ana nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi 2015

    Bado wana ccm wako mil 8,,pole yako,kama wapo hao mil 8 ujue kabisa mil4 kura kwa Lowasa
  11. S

    JamiiForums Tanzania Vijana wasema kuwa wanakula fedha ya Lowassa lakini kura kwa Magufuli

    Kula ccm kulala ukawaaaaa
  12. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yameguka vipande viwili

    Chadema pesa na asilia kura zote ni chadema
  13. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa apewe ulinzi wa kutosha hapa nchini!

    Wewe ndiye unaetujengea chuki
  14. S

    JamiiForums Tanzania CCM chama bora Afrika

    Kiliwanyama watu elimu ili kujiimarisha,na kendelea kuwatawala hao watu kwa kukosa kwao elimu
Back
Top Bottom