CHADEMA yameguka vipande viwili

CHADEMA yameguka vipande viwili

Chandimo hao wezi watupu, Chadema asilia fanyeni kweli.
 
hata kama likigawanyika mara7, bado kura ni kwa LOwasa...na wabunge wa ukawa..

hizo nyingine ni propaganda za LUMUMBA... au masaki IT team!!
hilo ndo tatizo la kutekwa kiakili hata uambiweje we huelewi kabisa hatakama ni ukweli
 
Yani huyu ubora na mafundisho pamoja na mleta uzi huu ni miongoni mwa wale mambumbumbu waliotajwa na twaweza kuwa ndo wanaishabikia ccm tunapo bishana nao hatujitendei haki tunyamaze maana hii ni misukule ya lumumba
 
CDM kisiki cha mpingo na kamwe haiwezi kuhangaika na hivi vijipropaganda vya kipuuzi.Mwaka huu mabadiliko lazima
 
Hivi nyie mnaobisha hivi mnadhani wafuasi wa Dr. Slaa wamefurahishwaa na yanayoendelea na kwamba roho zao Hazina nyama? Binadamu hukuzwa na matukio ya historia. Mwaka huu ni mwaka wa kukuza vijana siyo kimwili bali kiakili na kiroho ili wakomae katika kuchambua mambo kwa mtazamo mpya kabisa. 25 Oktoba watagraduate wengi humu.

naomba unieleweshe, hivi unamjua aliyemkaribisha lowasa chadema?baada ya jibu la swali hilo naomba tena uniambie dr slaa alifukuzwa chadema au amejitoa yeye mwenyewe kama amejitoa yeye mwenyewe kosa la chadema ni lipi kumbuka chadema ni taasisi siyo mtu
 
Laana ya zzk, chacha wangwe na dr.slaa itaifuata cdm mpaka kaburini kwake
 
Ni sita umekosea sio viwili kama unavto dai
 
Kadri siku zinavyozidi kwenda mbele migogoro imezidi kujikita ndani ya chadema na sasa kuna makundi mawili ambayo ni chadema asilia na chadema pesa.

Hayo yote yamekuja baada ya chama kuwakaribisha mafisadi na kupewa nafasi za kugombea wakati wazalendo wakikosa fursa hizo.

Kundi la pesa linaonekana kuwa na sauti kubwa wakati wa maamuzi ndani ya chama lakini kundi la asilia wao ndio wapiga kura wengi na muda mwingi kundi hili wapo kimya, wanafanya harakati za kimyakimya, wadadishi wa mambo wanadai kundi hili ni kubwa na ndilo linalomuunga mkono Dr Slaa kwa asilimia 100%.

Ni kweli katika hatua hiyo chadema kinaenda kupoteza mwelekeo.

Kwani Dr. Slaa bado ni Chadema .......................!!??

Muacheni Mzee wa watu apumzike, ameaamua kuachana na siasa!!
 
tunashukuru kwa taarifa ya kupika . naona una lako jambo sio bure mtu gani wewe hautaki mabadiliko?
 
Hivi nyie mnaobisha hivi mnadhani wafuasi wa Dr. Slaa wamefurahishwaa na yanayoendelea na kwamba roho zao Hazina nyama? Binadamu hukuzwa na matukio ya historia. Mwaka huu ni mwaka wa kukuza vijana siyo kimwili bali kiakili na kiroho ili wakomae katika kuchambua mambo kwa mtazamo mpya kabisa. 25 Oktoba watagraduate wengi humu.

Mimi ni mfuasi wa Dr Slaa huniambii kitu, lakini nataka mabadiliko pia, nampenda na ntaendelea kumpenda na kumheshimu doctor
 
Mimi mwenyewe ni shabiki mkubwa wa Dr slaa Ila sasa hivi ni kura owa lowasa kwanza mengine baadae.lowasaaaaàaaaaa.....mabadirikooooooo....mabadirikoooooo..
..lowasaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Josorobert,
Ccm kwanza NJE ndo ulete mada zako zisizo na mashiko.Ww nafikiri Ni wa Mwisho kwa propaganda mfu mlizo nazo na katu hatubadiliki,Mmepiga propaganda Wee lakini msimamo ni ule ule.LOWASA KWANZA Mengine baadae.
 
Back
Top Bottom