Recent content by S.kaka

  1. S

    Lema: Magembe ni Waziri Mzigo na Medeye ni bomu!

    lema jembe kwa msimamo wake aliounesha, kwan baada ya mh. ole medeye kuomba muongozo wa naibu spika kwa maneno ya kuudhi aliyoyatamka mh. lema dhid yake ndipo naibu spika akamruhusu lema kusema chochote. lema akamjibu ole medeye kuwa. ni kweli medeye ni bomu na ni mbaguzi wa wachaga, na lema...
  2. S

    Siungi mkono hotuba ya Rais Kikwete, SA

    kwa mila na desturi za kiafrika. utani kwenye msiba ni jambo la kawaida sana, japo aliyoongea jk, yote ni ukweli mtupu na wala hakukosea kuyasema yale yote. watu kufurahi kwenye msiba ni njia mojawapo ya kuwafariji wafia.
  3. S

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza auwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe

    kipimo unachotumia kuhukumia watu na wewe utahukumiwa hichohicho inawezekana ndo yametimia kwake, inawezekana ukawa muuaji ukaja kutubu na kuacha, ila tambua ya kuwa huwezi kutubu kwa jambo ambalo hata maumivu yake huyajui,malipo ni hapa hapa duniani, rip
  4. S

    Kinana Mfano wa Kuigwa, awasili Dsm kwa Treni ya TAZARA, Apokelewa kwa Kishindo

    wameona uchaguz unakaribia na wanadhan watanzania wa leo bado ni majuha, ngoja 2015 wataisoma namba tu. eti wanajifanya wanapanda tren toka lin kama cyo kuwaadaa wananchi ili wawachague wao na watanzania wazid kufa maskin kwenye nchi yao yenye neema tele huku wachache wakitajirika. tunahitaj...
  5. S

    WANACHADEMA: Mmewahi kumsikia Dr Slaa akimsema vibaya Mh Lowassa??

    ukitaka kumuona dk slaa akimsema lowasa kama unavyotaka, ni pale baada ya ccm kumsimamisha lowasa kwenye uchaguz wa 2015 ndipo utakapoamin.
  6. S

    Hatimaye Waziri Kapuya Afunguka Mwenyewe Live!!

    jaman nakubaliana na mdau mmoja humu jf. alishawai kusema kuwa, ili nchi yetu iendelee inabidi tuwe na rais ambaye hana makundi, ambaye ataweza kukemea ufisad bila woga pamoja na kulinda mariasir zetu, na mgombea huyo katu asitoke ccm. sasa leo hii mv kama lowasa anatumia mapesa mashwaiba wake...
  7. S

    mwenye flatscreen yoyote lcd,led,plasma 32inch weka bei nikutafute tufanye biadhara

    kuna duka wanaziuza laki 6 na nusu nchi 32 na ni mpya. nitafute.
  8. S

    Nani awe mrithi wa Mbowe, nani agombee urais badala ya Dr. Slaa?

    hata mi naona ni bora waendelee mbowe na slaa kwanza, hadi pale tutakapoichukua dola 2015
  9. S

    Kwa mateso makali na vikwazo vingi, lakini tutafika na Mbowe!

    naunga mkono hoja mara mia, ni kweli mbowe ameamua kujitoa kwa hali na mali kukomboa watanzania, kwa jitihada zake had kukifikisha chama kilipo anahitaj pongez, na tuachane na hao vibaraka wa magamba wanaotaka madaraka ili wakiue chama, wameaidiwa pesa haramu hao, na ni wasalit wakubwa,
  10. S

    CHADEMA chama cha watu

    mimi nawaomba tu viongozi wangu mtu kama zito ni mnafiki sana na ni msaliti mkubwa, wala asipewe nafac ya uongoz ndan ya chama ameshanunuliwa huyu. na atakisambaratisha chama, kijana mdogo unakuwa na tamaa ya pesa kiasi hiki? ndiyo maana kwenye bunge lililopita alikuwa kimya sana, ni bora hata...
  11. S

    Tanzanian - U.N. peacekeeper killed as Congo's army gains ground against rebels

    ni komandoo anaonekana. c unaona hiyo nembo yao R.I.P jemedari wetu, kosa walilolafanya vikosi vyetu kule kongo ni kuwaruhusu wale waasi kuludi tena kwenye meza ya mazungumzo ile hali walikuwa wanajipanga upya huku rwanda ikiwapatia zana mpya za kivita. ilitakiwa pale walipotandikwa mwanzon...
  12. S

    Kikwete atabiri kung'oka na kifo CCM - wanaCCM wajiandae kisaikolojia

    kuna wakati huwa najiuliza na sisi wananchi hata cjui tunaujinga gani, hv mbunge wa ccm anaanzaje kukushawishi mwananchi mchague yeye kama tangu tupate uhuru bado mwananchi ana mzigo mkubwa? leo hii mtanzania wa kawaida kama huna pesa ya chakula unakufa kwa njaa. huna pesa ya matibabu unakufa...
  13. S

    TRA ONline job application

    nenda chuo cha IFM wanatoa koz za Tax management kuanzia ngazi ya certificate, diploma,bachelor,post graduate. au kule mikochen TRA wanachuo chao kipo, au chuo chochote kinachotambulika na TCU wanaotoa koz za account kasome, Information Technology na zinginezo, kote huko utapapata nafac za...
  14. S

    Nyerere alimlaza Kenyatta baharini!

    jamani, inawezekana tanzania daima wako sahihi kwa kumhoji huyo mzee, ila hofu yangu ni kwa huyo mzee acje akawa ni yule mzee wa MAGUMASHi, wa kwenye ze comed ya EATV.
  15. S

    Msaada wa Kazi Nisaidieni Jamani.

    nipigie mia pia natafuta. 0714 674078
Back
Top Bottom