TRA ONline job application

TRA ONline job application

Degree niliyosoma na chuo hakipo kwenye list yao nafanyaje wakuu
 
wanajamii forums hiyo mada nimeifatilia lakini cjaelewa hiyo on line application ya tra ipo vip!!!!!!!!!! pls nipeni details nami niapplyb pls! au information ipo wap zaid??

samahanin jamani. Mm nataka kuaply at now. Vp jaman unaweza kuniambia ni chuo gan kizur kwa mamb yot ya tra? Naomb unijulishe kuptia 0714419691 au kassimhamza@gmail.com
 
naomben jaman msaada wenu. Nataka kuaply ngaz ya chet. Kwahyo kama kuna chuo kizur cha tra nijulshe bxt.
 
nenda chuo cha IFM wanatoa koz za Tax management kuanzia ngazi ya certificate, diploma,bachelor,post graduate. au kule mikochen TRA wanachuo chao kipo, au chuo chochote kinachotambulika na TCU wanaotoa koz za account kasome, Information Technology na zinginezo, kote huko utapapata nafac za kuingia TRA kama unandoto.
 
Back
Top Bottom