Recent content by rym

  1. R

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye ndevu

    Acha uongo
  2. R

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kunirejeshea hamu ya kuishi

    Chukua vyeti vyako vyote nenda baraza la mitihan. Wafatilie hcho chet huyo mtu mwngne kakipataje na nimwaka gan, je uliwezaja kufanya applcatn za vyuo kama chet kinashida. ? TCU hawakuliona hlo?mpaka mwsho ukapata chet cha undergraduate? Utajua kila kitu brother
  3. R

    JamiiForums Tanzania Waimbaji nyimbo za injili wanakera sana

    hope.1985. wewe hunauelewa wowote kuhusu Rc. tena futa hiyo kaul na usiiandike tena hapa thn hizo sanamu unazozisema wewe zinakusumbua nini. usituletee upumbavu wako hapa wewe kama kanisan kwenu wanashindwa kuwafundisha mambo yanayo wahusu nyie mnaanza kufundishwa mambo ya Rc ur wrong hakuna...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Waimbaji nyimbo za injili wanakera sana

    hope 1985. huna hata aibu sd ndo nini sijui. we unajiona umefika. Rc wamekukosea nini si uwaache na mambo yao huwa hamna kaz za kufanya ndo maana kwenye ibada zenu kaz kuhubir mashehebu ya watu kama si unafiki ni nn. by the way Rc huwa wanafanya mambo yao kwa utaratibu wao hawamuingilii mtu...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Waimbaji nyimbo za injili wanakera sana

    wanao vaa hijabu na shungi na misoksi ni watakatifu? mavazi sio kipimo cha utakatifu hata kidogo
  6. R

    JamiiForums Tanzania Waimbaji nyimbo za injili wanakera sana

    wanao vaa shungi na mahijabu mpaka misoksi ni watakatifu? acha argument za kijinga fanya research mavaz sio kipimo cha utakatifu hata kidogo.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Diamond-Platnumz na Wema Sepetu(MAMA 2014) walitisha, couple zuri sana

    the boss aheshimiwe na nan? nakwalip? hzo ni stage zake binafs zakupanda katka maisha. kwan ulosomanao wewe wangap mateja au maisha hayajawanyookea? akehishimiwe kwenyefamilia yake.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini SAUT wawe wababe kiasi hiki?

    mhurumiwe mara ngap? ada yenyewe ndogo bado mnalalamika. hamna shukrani.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Nyerere kutangazwa kuwa mtakatifu

    leave people with their own believe
  10. R

    JamiiForums Tanzania Elimu Waliyonayo Dada Zetu Vyuo Vikuu Haina Maana

    bumija kumbe unamawazo mafupi kama mkia wa mbuzi yan unaongea kitu without a research sema huna sifa za kuwa na mdada wa chuo kikuu
  11. R

    JamiiForums Tanzania Elimu Waliyonayo Dada Zetu Vyuo Vikuu Haina Maana

    kipoma ukimwi na uzinz hauchagui chuo kikuu wala wavijijin. hujalazimishwa kuoa wachuo kikuu wewe kaoe ambae hajaenda shule kabsa ili asije akawa mzinzi na msipate ukimwi. coz naona uwezo wako wakufikiria umeishia hapo unaona soltn nikuwa na darasa la 7.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Elimu Waliyonayo Dada Zetu Vyuo Vikuu Haina Maana

    haina maana kwako. kaoe darasa la nne cz hata uwezo na akil ya kuishi na mdada alomaliza chuo kikuu hauna. wenzio wameoa hao wachuo kikuu na wanaona maana kubwa tu yakuao mdada mwenye elimu. afu unaonekana unawivu roho inakuuma wadada kusoma chuo kikuu sidhan kama ukipata mtoto wakike...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Joka kubwa aina ya chatu lazua taharuki jijini Arusha

    tutake radh wa sukuma
  14. R

    JamiiForums Tanzania Tabia ya rafiki yangu inanishangaza

    huyo sio rafiki mzur atakudhuru achana nae kabsa tena hakupendi kunakitu anachokitaka kwako tena kinainekana si kizur. siri gan wewe unataka kufanyanae had umfiche mumeo. atakuvunjia ndoa achana nae tena mpige marufuku atambue kabsa hutak upuuz wake watu hatupendan na hatuaminiki kuwa makin sana.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mbasha: Kanisa la Ufufuo na Uzima Tunasema...

    umepotea kaka. we kajifunue na ufunuo wenu na umafiki wenu.
Back
Top Bottom