Dr Kitima, tutakukumbuka daima!
mh! enzi ya padri chacha ukienda kutubu dhambi anakupa kimemo unatinga kwenye pepa.
Dr Kitima, tutakukumbuka daima!
Hata STEMMUCO MTWARA twalia na hilo,ukishndwa kulipa hufanyi mitihani (UE)
Hawa jamaa huwa wanajifanya wajuaji sana na tamaa ya kuongeza vyuo huku wameshikilia ardhi kubwa Mwanza main compus kujenga hawawez wanatuletea mapori ndani ya jiji! Tibaijuka wanyang'anye ardhi watu wajenge jiji lipendeze shenz gete!
Sina chuki ila huo n ushaur wajenge kwanza chuo kimoja kieleweke sio kuwa na tamaa! huwaioni UDOM au UDSM vinavyovutia na kuchochea maendeleo sehemu vilipo wao wanaendelea kukumbatia mapor na vichaka katikat ya jiji huku wanakimbilia kuanzisha vyuo mikoani?
Hawa jamaa huwa wanajifanya wajuaji sana na tamaa ya kuongeza vyuo huku wameshikilia ardhi kubwa Mwanza main compus kujenga hawawez wanatuletea mapori ndani ya jiji! Tibaijuka wanyang'anye ardhi watu wajenge jiji lipendeze shenz gete!
SAUT sio chuo, ni secondary. Vyuo ni UDSM,SUA , MZUMBE na UDOM ukishindwa kabisa kasome IFM au IAA. Umeenda choo cha kike, SAUT ni chuo cha wanafunzi waliopata division 3 na 2 za mwisho. Ila jitahidi umalize mwaka wa mwisho, masters kasome UDSM uimprove cheti chako cha SAUT
hao ndio SAUT nawapenda sana
moja mwanafunzi ujifanya mjanja mjanja kulipa ada unaumbuka
mbili ukijifanya mjanja mjanja ki academic at the end unaumbuka
tatu wakatoriki wananjenga mtu kujua wajibu wake si porojo na siasa wewe kama umeamua kusoma acha mambp mengine soma ukiona mambo yamepandan milango iko wazi ailisja mwaka
sasa wewe baada ulipe ada unajifanya mfanyabishara, mpenda anasa, unatakas kuishi maishi kama mtumishi lazima ikukost
kwa wale mnaoshindwa lipa ada kwa wakati pelekeni tarifa mapema mwanjonde anapokea n fine hupati wewe omba special exam to tarifa wanakubali
siyo uchezee pesa hesabu zigome uje ilaumu SAUT wewe utakuwa una matatozo.
sina chuki ila huo n ushaur wajenge kwanza chuo kimoja kieleweke sio kuwa na tamaa! Huwaioni udom au udsm vinavyovutia na kuchochea maendeleo sehemu vilipo wao wanaendelea kukumbatia mapor na vichaka katikat ya jiji huku wanakimbilia kuanzisha vyuo mikoani?
mie nimemaliza ni kweli hali halisi naijua aisee ila punguzen kuonga kwa watoto wa chuo cha utumishiHata STEMMUCO MTWARA twalia na hilo,ukishndwa kulipa hufanyi mitihani (UE)
Vyuo vya serikali vina fedha nyingi.mimi ni product ya SUA enzi za DVC Kambarage, miaka mitatu nililipia fedha ya registration ya first year tu, tena nilipokuwa naanza ili nipate usajiri, toka hapo sikulipa fedha yoyote hadi namaliza zaidi ya kulipia accomodation fees ambayo ni elfu 60's per semister, nilienda kulipa baada ya kuhitaji gamba langu, nikawauliza mnanidai shiling ngapi.? Nitakumisi kambarage, nitakumisi Sua.
Hiyo hasa ndio sababu ya kuweka hiyo fine ya kuchelewa kulipa.miaka mitatu nililipia fedha ya registration ya first year tu, tena nilipokuwa naanza ili nipate usajiri, toka hapo sikulipa fedha yoyote hadi namaliza
Chuki yako haitamdhuru mtu mwingine yeyote isipokuwa personality yako.Nilisoma hicho chuo ila nakichukia sana!!!wanaongoza kwa kuchakachua matokeo..na kama sikosei naskia kila mwaka wanaongeza ada na hizo fine zao!! I hate warumii kwa kweli walinitesa sana