Recent content by RWE

  1. R

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi Mh. Rais kuzungumza lugha ya kabila lake katika mkutano wa hadhara?

    Ukitaka ueleweke vizuri kwa jamii fulani basi tumia lugha yao.Hapa alikuwa anatoa majibu ya maswali yao,wala hayatuhusu.Hata mmisionari alipotaka neno lieleweke mapema alianza na kujifunza kikabila cha mahalia.Hata hivyo yeye ni msukuma,sasa afanyeje?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu wizara ya utumishi wa umma acha uongo mwogope mungu.

    Angalia usije ukaozea rumande
  3. R

    JamiiForums Tanzania Anaandika Wakili Msomi Peter Kibatala kuhusu swala la Mbunge wa Arusha Mhe. Lema

    Muulize Babu Seya
  4. R

    JamiiForums Tanzania Huyu dada Monica Michael ni Tapeli kuweni makini

    Angalieni Kiswahili chenu
  5. R

    JamiiForums Tanzania Nimeolewa ila sijui ni kwanini namtamani sana huyu kichaa

    Ni kufanya wamejifunika shuka huku wamezima taa
  6. R

    JamiiForums Tanzania Nimeolewa ila sijui ni kwanini namtamani sana huyu kichaa

    Wapo waliowahi kumfukuza kichaa asije nyumbani kwao, kumbe wanamfukuza Yesu, sasa nahilo lipime ukiona vipi mhudumie huwezi jua.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mtumishi anaevaa sare za chama akiwa ofisini na mtu anaendesha vikao vya chama Ikulu, wana tofauti?

    Kikwete aliondoka madarakani, akamwacha Wasira,"Yupo"
  8. R

    JamiiForums Tanzania Labda sioni au nimekosea, Ng'ombe anaweza kuwa hivi?

    Chura!
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Lema wafungua kesi mahakama kuu wakitaka Lema afikishwe mahakamani

    Alafu mtu mwingine anasimama anasema atakfa
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mliosema Rais kaandaliwa maswali mnajisikiaje?

    Kwani akiandaliwa kuna tatizo?
  11. R

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye atakuwa na vyeti feki? Tunaomba vihakikiwe, CV yake haieleweki

    Chomeka=tupia
  12. R

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye atakuwa na vyeti feki? Tunaomba vihakikiwe, CV yake haieleweki

    Hivi nyakati hizo Afisa elimu wa Singida alikuwa ni nani? Mbona washukiwa wengi walianzia Singida. Ebu chomeka wengine tuone
  13. R

    JamiiForums Tanzania Imani ya mama inanitatiza

    Kama tulikuwa na mawazo sawa. Hapo ndipo mawazo ya kucharanga mapanga huanzia
  14. R

    JamiiForums Tanzania Imani ya mama inanitatiza

    Waganga wa hospitali pia wapo wa kienyeji, wanatibu mtu aliyepata ajali kama kuunga mifupa kwa haraka kuliko maombi. Ajali ya baba yako ilikuwaje...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Unaweza kujenga nidhamu ya watumishi wa umma pasipo kwanza kuboresha maslahi yao?

    Mh mbona utomvu!
Back
Top Bottom