Pole sana mkuu! Muombe Mungu kuhusu hilo jambo, wakati ukimuomba Mungu muombe akupe ujasiri wa kuongea na mama yako ili umshauri amtegemee Mungu pekee na kuachana na waganga.
Akikubali...glory to God! Akikataa endelea kumuombea, kuiombea familia na kujiombea mwenyewe. Kadiri utakavyokuwa ukiomba utajua namna ya kuendana nae.
Namaanisha Mungu atakuwa akikupa namna mbali mbali za kuenenda. Mf unaweza kuplan kwenda kumsalimia mama siku fulani but ukakosa amani, ukaenda siku nyingine. Kumbe siku uliyoghairi kuna jambo baya liliepushwa.
Endelea kumpenda na kumthamini huku UKIMTEGEMEA NA KUMTUMAINI MUNGU TU! Huwa ni Mwaminifu na habadiliki!
He never changes as human being do!