Recent content by Rwagati

  1. R

    TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    Sio siri roho imeniuma sana, kupoteza mtu huyu hata kama nilikuwa simfahamu ila tumepoteza
  2. R

    Damu ya MoU mikononi mwa Lowassa na damu ya Mwembechai mikononi mwa Sumaye, ni najisi kwa UKAWA

    Ukisoma ibara ya 33,ibara ndogo ya 1na2, inasema ;nanukuu, kutakuwa na rais wa jamhuri ya muungabo , Rais atakuwa mkuu wa nchi;kiongozi wa serikali na amiri jeshi mkuu. Sasa jua ya kuwa kila kitu kinachofanyika kinatoka kwa rais mwenyewe
  3. R

    Dr. Slaa amfunika Lowassa kwenye media

    Kama lowasa ni fisadi,na slaa kawasaidia kwa kuwa na ushshidi,kwanini msimpeleke mahakamani?
  4. R

    Dr. Slaa amfunika Lowassa kwenye media

    Magufuli angekuwa MSABATO tungesema tumepata mtu wa fungu la kukariri kwenye shule ya sabato sehemu ya kwanza Lakini watanzania tumechoka na maneno,tunataka mtu sasa wa kufikiri na kutenda
  5. R

    Rais anayejua hadi idadi ya mimba zilizotungwa!

    Magufuli angekuwa MSABATO tungesema tumepata mtu wa fungu la kukariri kwenye shule ya sabato sehemu ya kwanza Lakini watanzania tumechoka na maneno,tunataka mtu sasa wa kufikiri na kutenda
  6. R

    Nahitaji kufanya biashara, nina 1 million, nipo DSM

    Tatizo si biashara gani ufanye, tatizo ni je?unajitambua?biashara yeyote inahitaji ujitambue, mm mtu akinipigia simu bila kumwambia afanye nini tutajadiliana dunia ilivyo ,inakotoka inakokwenda ili achague mwenyewe atafanya nini rahisi kwake, Onyo mtu asikwambie kuna kitu chepesi ktk...
  7. R

    Kimoyomoyo ninaumia na mambo ya jana katika uzinduzi wa Kampeni za CHADEMA/UKAWA

    Ujinga wa watanzania ndio huo,kama umesoma alafu unashabikia kuongea sana ,ulipoteza pesa ya wazazi bure Tunataka mtu anayetafakari na kutenda sio maneno jukwaani alafu utekelezaji zero,TZ badilikeni ,Wagombea waongeaji tumewaona tiyari na tulishawapa ridhaa tunajua walivyo, Labda niseme...
  8. R

    GE2015 UVCCM yamvaa LOWASSA, yakerwa na kauli zake za kutetea wabakaji, wamshangaa SUMAYE

    Nimefuatilia sehemu nyingi sana ,hawa jamaa hawalali na wamemsahau MAGUFULI wao na LOWASA tu,oneni haibu, Niwaambie kitu..... watanzania tumechoka sana na zaidi ni kuona nnakataa maoni yetu alafu mnataka kutuongoza, Kwani CDM/UKAWA ,wamepimwa wapi kuwa hawawezi kuongoza nchi?
  9. R

    Nani awe Waziri katika Serikali ya Magufuli

    Ndio maana lowasa kwenye hotuba yake katanguliza elimu ba mabadiliko ya fikra
  10. R

    Hata sisi CCM hatutaki katiba ya UKAWA, UKAWA ni kikundi kidogo sana cha WAHUNI....

    Ukawa wanasimamia mawazo ya watanzania na wewe ukiwemo alafu unawashabikia waliokataa ,?ntabaki nakushangaa sana
  11. R

    UKAWA vs Magufuli: Kisa cha nahodha na meli

    Nimegundua mna ushabiki,hv ikitokea watu ambao ni marafiki wakawa na uwezo mkubwa wa uongozi kuliko wengine,na wao wanayemtafuta ni kiongozi,si watamteua miongoni mwao ambaye wamekubaliana wote?MBOWE NI KIONGOZI,Kwa kuthibitisha hili natoa mfano,;hivi familia nne zenye baba na mama ambazo kila...
  12. R

    GE2015 Ilani ya CCM 2015-2020 - Uchaguzi Mkuu 2015

    Yale yale,nashangaa anayemnadi anasema pumbavu kwa watanzania,alafu wanayemnadi anasema ataheshimu mawazo ya kila mtu hata kama ni mpinzani sasa mbona sielewi ?
  13. R

    Usanii mpya wajitokeza Tanzania

    Yeye alikuwa anapangiwa ratiba na serikali,‘sasa hivi ni mwananchi wa kawaida ,anaweza kwenda popote kulingana na katiba inavyoruhusu
  14. R

    Tume ya Warioba 'imewatapeli' watanzania?

    Kiongozi ni yule anayewasikiliza wale anao waongoza,sasa kama magufuli hakutuunga mkono awaombe kikwete na serikali yake wampe kura,maana ndio waliokubaliana kwenye katiba
  15. R

    Tukikosea 2015 tutajuta milele! Nchi itazama

    Uloi nga mache 68?hacha utani,kama uko kwenye familia ya vigogo sawa,tuulize sisi tunaoangaika ,mimi mama kanisomesha kwa kuuza kuni mzigo Tsh 200/-wenzangu wanakula chapati mm napata uji mtupu,,,,,,tunawapa kura ukawa kwakuwa Wameungana watu waliokuwa na nia ya kuwa marais ndani ya vyama vyao...
Back
Top Bottom