UKAWA vs Magufuli: Kisa cha nahodha na meli

Hakuna mfumo wa kumtiisha Lowasa,kama hakutii akitafuta madaraka atawezaje kutii baada ya kuyapata? Kama chadema wangekuwa na mfumo wa kuwa-mould watu, wasinge mfukuza Zitto. Wangemfinyanga akawa kama wanavyotaka wao. Wangekuwa na mfumo bora, Dr slaa, asingekimbilia uhamishoni.
 
Ushabiki unawapeleka vibaya: Mkianza kampeni mnasema saana na zikiisha mmeshinda mnaanza kulalamika serikali ya chama cha mapinduzi-CCM mbovu!!! hiyo akili au matope? Mlidanganywa mkamtukana Salim, haya mkampata huyu sasa mmeishia kulalamika oohh mara huyu vasco da gama...n.k Acheni ushabiki chujeni pumba na mchele mfanye maamuzi yatakayowakomboa ninyi ''wapumbavu na malofa'' wenzangu
 
Nitazungumzia vitu viwili;-
1- Katika nukuu za mwalimu aliwahi kusema kua "muogopeni sana mtu anayetaka kwenda ikulu kwa gharama yoyote" na pia alisema kua "ikulu hamna biashara ikulu ni mzigo ni lawama" hivyo mtu anaeng'ang'ania kwenda kule lazima atuambie kuna nini huko, mbona anatumia nguvu nyingi sana kwendAa huko?? Sikatai kua Magufuli anataka kwenda ikulu kama mgombea mwingine yoyote lakini njia, utapeli, ujanja, ulaghai, gharama, zinazotumiaka na wagombea hawa wakubwa wawili ndizo zinazowatutofautisha na kutufanya tumjue nani mwenye tamaa ya ikulu na nani anania ya kwenda ikulu kuwatumikia wananchi. Lowasa alipochukua fomu ya Urais CCM alijua dhahiri kua kuna wagombea wengi na hivyo anaweza kukosa au kupata. Ila alipoona amekosa kwa vile anabiashara yake yeye na kundi lake wanataka wakaifanye ikulu akaamua kuhama na kuzinunua taasisi nyingine 4 kwa usiku mmoja kwa sababu tu aliahidiwa kua atapewa nafasi ya kutimiza nia yake ya kufanya biashara yake ikulu. Kila mtanzania ni shahidi kua ni kias gani Lowasa ametumia cha fedha tangu akiwa CCM hadi sasa ili tu apate nafasi ya kuingia ikulu. Swali la kujiuliza ni 1) anatumia fedha zote ili aende ikulu kwa maslahi ya nani?? 2) fedha zote kazipata wapi?? basi tufanye marafiki zake ndio waliomchangi sawa, ila wamemchangia yeye ili aende ikulu wao watafaidikaje?? Kila mtazania anataka mabadiliko ila mabadiliko gani hapo ndo wengi tunatofautiana. Magufuli kila mmoja anaujua utendaji kazi wake, Hakuna wakupinga kua ni mchapakazi, mfuatiliaji na mtu makini. Mabadiliko ninayoyataka mimi ni kumchagua kiangozi mchapakazi, amabae kila mmoja anajua na ameshuhudia. Mtanzania tafakari kura yako ni ya dhamani sana, usiipoteze. [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=hapakazitu]#hapakazitu .[/URL]

2- Suala la mfumo. Huwa nashangaa sana chadema wanapopiga kelele juu ya mfumo wa ccm na hua najiuliza swali moja dogo, je! kama wao mfumo wa kupata viongozi wa chama mpaka karne hii ni wakuruthishana, kama wao wanachukia mifumo mibovu, kwanini wasirekebise mfumo wa chama chao ili uwe mfano na tuweze kuwaamini kua hata wakija kwenye nchi wataweka mfumo mzuri. Kama mtu jambo dogo limekushinda utaniaminishaje kua kubwa utaliweza?? Pia angalia mfumo wao wanaotumia kupata mgombea. Ni mfumo uliojaaa usiri wa hali ya juu. Alafu mnadhubutu kujiita chama cha demokrasia, Demokrasia ganai ya kujifungia chumbani na kuja na mgombea?? Demokrasia gani ya kupuuza mawazo ya mtu aliekipandisha chama toka chini hadi juu alafu leo mnamleta mtu mwingine kuja kuchukua nafasi ya huyo mpiganaji?? Kama nyie wenyewe mnasalitiana, kwanini tuwaamini kua hamtatusaliti sisi wananchi tukiwapa nafasi. Mnakua wanafki mpaka kwa nafsi zenu wenyewe. Uroho na njaa zitawamaliza na hii dhambhi ya usaliti itawatafuna hata muende wapi. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CCM, Mungu mbariki Magufuli. #hapakazitu

Mkuu, mwalimu alikua binadamu tu kamawewe wala hakuwa nabii. Kwahiyo siyokila alichoamini nilazima nasisi tuamini hicho. Nivema ukaongozwa naubongo wako ktk kutafakari mambo. Siokilakitu ooh flani alisema hivi naflani alisema vile. Mfano, kama wewe nimtoto wakiume inamaana Mwl angesema uolewe ungekubali tu kisa mwalimu kasema? Zakuambiwa au zakusikia, ongeza nazakwako. Hichokichwa Mungu alikijaza kila aina yamaarifa, kitumie ipasavyo usikalilishwe tu.
 
Alifanya ukaguzi? Hahahaha hata hujitambui. ..mtu kakurupuka kuchukua form, hakujipanga, nakuhakikishia Kama Magufuli atapita basi atatumiki mabwana walio mshawishi kuchukua form, upo hapo?
Tatizo hapa ni moja tu, uwezo wako wa kufikiri kupambanua na kuchanganua ni finyu kwahiyo umefanya tafsiri ya moja kwa moja alafu mishipa imekutoka unatka kubishana. Tuliza akili soma upya utaelewa naamini ukiwezeshwa unaweza
 
Ushabiki unawapeleka vibaya: Mkianza kampeni mnasema saana na zikiisha mmeshinda mnaanza kulalamika serikali ya chama cha mapinduzi-CCM mbovu!!! hiyo akili au matope? Mlidanganywa mkamtukana Salim, haya mkampata huyu sasa mmeishia kulalamika oohh mara huyu vasco da gama...n.k Acheni ushabiki chujeni pumba na mchele mfanye maamuzi yatakayowakomboa ninyi ''wapumbavu na malofa'' wenzangu
Mkanganyiko unatokea sehemu moja tu, UPAWA hawatuambii hoja kila siku wako standby kukosoa na kujibu hoja za CCM. Walete hoja zao tuzipime alafu tufanye maamuzi sahihi sio kila siku porojo
 
HAPA KAZI TU......Kazi bila elimu, afya bora si kazi hiyo ngosha.
 
Tatizo hapa ni moja tu, uwezo wako wa kufikiri kupambanua na kuchanganua ni finyu kwahiyo umefanya tafsiri ya moja kwa moja alafu mishipa imekutoka unatka kubishana. Tuliza akili soma upya utaelewa naamini ukiwezeshwa unaweza

Kila mtu anahaki yakutoa mawazo yake, uwezo wangu finyu wakufikiri sababu nimesoma kayumba, sikufaulu advance wala sikupata opportunity ya kusoma chuo sababu ya ulofa na upumbavu wa hao unao wapigania, halafu mshipa ulio nitoka upo tu tena unamoto balaaa, karibu. ..then jifunze ustarabu usiwe kama babu yako majukwaani. ..Don't maind this is the time for malofa na wapumbavu kama mimi kutake action. .Don't reply
 
panga vzuri hoja zko ndipo uongee
Hii forum ni ya watu intelectual, wengine wanafuata mikumbo olele hueleweki, wasaidizi akina nani, hao ambao walishindwa unahodha miaka mingi iliyopita
 
Last edited by a moderator:
HAPA KAZI TU......Kazi bila elimu, afya bora si kazi hiyo ngosha.
Vyote lazima viende sambamba maana hata COMPUTER SCREEN ikiwa mbovu sidhani kama CPU peke yake itafanya kazi, elimu, umaarufu na kadhalika, bila afya, ni sawa na bure
 
Afadhali ukawa nahodha anaweza akawa si mzuri. Ila huko meli mbovu, ukawa kuna manahodha wasaidizi wasaidizi wazuri.. Uko unapopatetea pamoja na ubovu wa meli lakini manahodha wasaidizi wabovu. Hapo sijamzungumzia nahodha..
Hata chombo kinapoelekea nako siko.

Sidhani kama ni sahihi kusema ukawa wana meli mbovu. Sijui utakuwa unalinganisha nini. Huko ukawa ndio kila kitu kibovu. Nadhani ndio maana mnasema bora kupigia jiwe kuliko ccm maana mnatambua huko ukawa bora JIWE.
 
Wengi wa wanaosapoti UKAWA wana hoja kwamba MAGUFULI hafai kuwa Raisi kwasababu eti yu katika MFUMO (SYSTEM) ambayo ndio tatizo. Watu hawa wamefika mbele zaidi na kutoa mifano ya Nahodha mzuri (MAGUFULI) ambaye wanadai hawezi kuivusha meli mbovu iliyotoboka kutokana na dhoruba. Nitajadili hoja hii kwa kujikita zaidi katika mfano huu huu wa MELI na NAHODHA (Meli na Nahodha zikisimama “symbolize” kwa nafasi ya Nchi na Raisi)

Kwa kawaida kabla ya NAHODHA kuanza safari HUKAGUA MELI yake kuhakikisha iko salama ikiwa ni moja kati ya jitihada za kuhakikisha anamaliza safari salama. Ukaguzi huu hauishii tu kwa NAHODHA kukagua MELI, Uimara na utayari wa Nahodha kukisimamia chombo pia ni suala la msingi na muhimu (ikumbukwe ukaguzi haufanywi kwa kukurupuka tu SAFARI ikikaribia kwani unaweza kufika katikati ya SAFARI na kugundua hukuandaa kila kitu hivyo kuangamiza KILA KILICHOMO KWENYE MELI kwa kifupi ni kwamba Maandalizi Kurupushi ya maigizo ni HATARI sana kwa SAFARI hii).

Ni dhahiri kuwa MAGUFULI alifanya UKAGUZI SAHIHI WA MELI HII kabla ya kuanza kwa safari na amelidhihirisha hilo katika Wizara zote alizoziongoza na ndio maana hahitaji kuingia kwenye masoko na na barabarani leo hii kutafuta matatizo kwani ni wazi ukikurupuka unaweza pata SPARE ZA KICHINA zisizoweza kustahimili MAWIMBI NA DHORUBA YA SAFARI HASA PALE UNAPOKUWA NA NAHODHA ASIYE NA UTAYARI WA KIUTENDAJI NA KIAFYA. Umuhimu wa NAHODHA imara upo waziwazi kwani hata tukirudi kwenye Maandiko matakatifu wakati Bwana Yesu alipokuwa akisafiri na wanafunzi wake aliamshwa kutoka usingizini ili kutuliza Dhoruba (naomba nieleweke simfananishi kwa namna yeyote ile Mgombea yeyote Yule na Bwana Yesu BALI naonyesha umuhimu wa Nahodha hodari katika safari)

Ieleweke kwamba kama MELI ina matobo hata kutia Nanga haitoweza kwani ITAZAMA. Kichekesho kinakuja unapowauliza UKAWA ni jinsi gani Watatuvusha katika Dhoruba hii wengi hujibu “haijalishi nahodha gani anaingia kuongoza alimradi wasafirishaji hawa wametoka kwanza”, haya ni majibu yanayostahili kuitwa ya KILOFA. Hatuwezi kufanya gambling katika uongozi wa Nchi la sivyo yatatukumba kama yaliyoikumba Titanic. Hatutaki kupata NAHODHA yeyote tu aingie KUONGOZA MELI hii, Tunataka aliyejipanga kuongoza nchi apate nafasi hiyo. Hatutaki NAHODHA aliyehamia kampuni nyingine kutafuta nafasi ileile aliyonyimwa katika kampuni ya awali baada ya kunyimwa kazi kisa alizamisha Boti na Mitumbwi hapo kabla kisha leo hii tumpe unahodha wa MELI KUBWA.

Ikumbukwe pia Mfumo unaundwa na Wanasiasa (Politicians) + Watendaji (Bureaucrats). Politicians hupatikana kwa kura lakini Bureaucrats hupatikana kwa Merits. Bureaucrats wanatakiwa kuwa non-political lakini kwa mfumo wa Nchi yetu ulivyo sasa wako subordinate to Politicians ambapo WAZIRI MKUU ndiye MKUU WAO. CHADEMA wanasema wanataka kupambana na MFUMO lakini wameshindwa kuuvunja MFUMO MBOVU WALIO NAO HIVI SASA. Nikirejea moja kati ya thread zilizowekwa humu ndani kuelezea mfumo wa CHADEMA unaohoji Jinsi CHADEMA wanavyopeana uongozi na kuachiana vyeo ni dhahiri mfumo wao ni mbovu zaidi. Nanukuu “Aliyeanzisha chama ni Edwin Mtei na ndiyo mwasisi wa Chadema na ndio Mwenyekiti wa kwanza wa Chama hicho, Mwenyekiti aliyefuata ni marehemu Bob Makani ambae alimuoa dada wa Mtei, na Mwenyekiti wa sasa Kamuoa mtoto wa Mtei ambae ni mwasisi na mwenyekiti wa kwanza wa chadema”. Hapo Bado hawajashika MELI wana mfumo mbovu hivi, vipi wakipata UNAHODHA.

Kiulinganishi Mmoja wa waomba nafasi ya UNAHODHA aliwahi kuwa mkuu wa MFUMO na MATOBO ALIYOYALETA kwa nchi hii yanafahamika. UKAWA WALILIONA HILI KUANZIA MUDA MREFU NA WALIMSHAMBULIA HADI AKAACHIA NGAZI, LEO HII WAMEMPA UONGOZI WAKITAKA AONGOZE JITIHADA ZAO ZA KUPEWA TENDA AMBAPO NAHODHA WAO ATAKUWA YULEYULE WALIYEMPINGA SIKU ZOTE. (This is Non-sense na ni hapa ndipo tunatakiwa Tunapoanza kuhoji na kupata mashaka kwamba huyu NAHODHA anayetafuta nafasi kwa nguvu zote hataleta mtandao wake kama ambavyo amekwishaanza kwa kumvuta SUMA-YEYE?

Watanzania hatuko tayari kumkabidhi fisi bucha, hatuwezi kutoa tenda ya UNAHODHA wa meli kwa NAHODHA MCHOVU, anayepita mitaani kujua matatizo wakati safari imekwishawadia, hatuko tayari kuzama. Ninaamini TINGATINGA la kazi lipo Kura Yangu nitampa NAHODHA SAHIHI MTENDAJI WA KUAMINIKA Dr. JOHN POMBE MAGUFULI “Every era has its chair, THIS IS MAGUFULI’s ERA #HapaKaziTu
nashukuru kwa ufafanuzi wako,mm pia nilikua nimmoja kati ya mshabiki mkubwa pasi nakuelewa nilikua najichimbia kaburi langu mwenyewe na kizazi changu,nashukuru tena sana maana sasa nitafanya chaguo lililo sahihi,kura yangu nitampa magufuli.
 
Ndugu Magufuli sijamuona akicheza rafu katika mchezo huu wa kwenda Ikulu, Ila ndugu Lowasa amepiga rafu nyingi hadi za kupewa kadi nyekundu na hata kufungiwa michezo kadhaa, tangu yupo CCM na mpaka ilipofikia uamuzi wa kwenda UKAWA, yeye ni mwendo wa rafu, yaani anawachezea rafu mpaka UKAWA wenyewe, kitendo cha kwenda nyumbani kwa mtu ukamkuta yeye ndiyo baba na ana mke na watoto, halafu wewe ukamchukulia mke wake na watoto wake, hiyo ndiyo rafu kubwa sana, sitaisema ile rafu waliyoicheza viongozi wa UKAWA kipindi cha ESCROW na kipindi cha kumtambulisha ndugu Lowasa kama mgombea wa urais kupitia CCM. HIZI NI RAFU, ZITAWACOST UKAWA OCT 25, ndio maana baadhi ya wachezaji viungo wa UKAWA wamehama timu wengine hawachezi tena mechi ya kwenda Ikulu.
 
Wengi wa wanaosapoti UKAWA wana hoja kwamba MAGUFULI hafai kuwa Raisi kwasababu eti yu katika MFUMO (SYSTEM) ambayo ndio tatizo. Watu hawa wamefika mbele zaidi na kutoa mifano ya Nahodha mzuri (MAGUFULI) ambaye wanadai hawezi kuivusha meli mbovu iliyotoboka kutokana na dhoruba. Nitajadili hoja hii kwa kujikita zaidi katika mfano huu huu wa MELI na NAHODHA (Meli na Nahodha zikisimama “symbolize” kwa nafasi ya Nchi na Raisi)

Kwa kawaida kabla ya NAHODHA kuanza safari HUKAGUA MELI yake kuhakikisha iko salama ikiwa ni moja kati ya jitihada za kuhakikisha anamaliza safari salama. Ukaguzi huu hauishii tu kwa NAHODHA kukagua MELI, Uimara na utayari wa Nahodha kukisimamia chombo pia ni suala la msingi na muhimu (ikumbukwe ukaguzi haufanywi kwa kukurupuka tu SAFARI ikikaribia kwani unaweza kufika katikati ya SAFARI na kugundua hukuandaa kila kitu hivyo kuangamiza KILA KILICHOMO KWENYE MELI kwa kifupi ni kwamba Maandalizi Kurupushi ya maigizo ni HATARI sana kwa SAFARI hii).

Ni dhahiri kuwa MAGUFULI alifanya UKAGUZI SAHIHI WA MELI HII kabla ya kuanza kwa safari na amelidhihirisha hilo katika Wizara zote alizoziongoza na ndio maana hahitaji kuingia kwenye masoko na na barabarani leo hii kutafuta matatizo kwani ni wazi ukikurupuka unaweza pata SPARE ZA KICHINA zisizoweza kustahimili MAWIMBI NA DHORUBA YA SAFARI HASA PALE UNAPOKUWA NA NAHODHA ASIYE NA UTAYARI WA KIUTENDAJI NA KIAFYA. Umuhimu wa NAHODHA imara upo waziwazi kwani hata tukirudi kwenye Maandiko matakatifu wakati Bwana Yesu alipokuwa akisafiri na wanafunzi wake aliamshwa kutoka usingizini ili kutuliza Dhoruba (naomba nieleweke simfananishi kwa namna yeyote ile Mgombea yeyote Yule na Bwana Yesu BALI naonyesha umuhimu wa Nahodha hodari katika safari)

Ieleweke kwamba kama MELI ina matobo hata kutia Nanga haitoweza kwani ITAZAMA. Kichekesho kinakuja unapowauliza UKAWA ni jinsi gani Watatuvusha katika Dhoruba hii wengi hujibu “haijalishi nahodha gani anaingia kuongoza alimradi wasafirishaji hawa wametoka kwanza”, haya ni majibu yanayostahili kuitwa ya KILOFA. Hatuwezi kufanya gambling katika uongozi wa Nchi la sivyo yatatukumba kama yaliyoikumba Titanic. Hatutaki kupata NAHODHA yeyote tu aingie KUONGOZA MELI hii, Tunataka aliyejipanga kuongoza nchi apate nafasi hiyo. Hatutaki NAHODHA aliyehamia kampuni nyingine kutafuta nafasi ileile aliyonyimwa katika kampuni ya awali baada ya kunyimwa kazi kisa alizamisha Boti na Mitumbwi hapo kabla kisha leo hii tumpe unahodha wa MELI KUBWA.

Ikumbukwe pia Mfumo unaundwa na Wanasiasa (Politicians) + Watendaji (Bureaucrats). Politicians hupatikana kwa kura lakini Bureaucrats hupatikana kwa Merits. Bureaucrats wanatakiwa kuwa non-political lakini kwa mfumo wa Nchi yetu ulivyo sasa wako subordinate to Politicians ambapo WAZIRI MKUU ndiye MKUU WAO. CHADEMA wanasema wanataka kupambana na MFUMO lakini wameshindwa kuuvunja MFUMO MBOVU WALIO NAO HIVI SASA. Nikirejea moja kati ya thread zilizowekwa humu ndani kuelezea mfumo wa CHADEMA unaohoji Jinsi CHADEMA wanavyopeana uongozi na kuachiana vyeo ni dhahiri mfumo wao ni mbovu zaidi. Nanukuu “Aliyeanzisha chama ni Edwin Mtei na ndiyo mwasisi wa Chadema na ndio Mwenyekiti wa kwanza wa Chama hicho, Mwenyekiti aliyefuata ni marehemu Bob Makani ambae alimuoa dada wa Mtei, na Mwenyekiti wa sasa Kamuoa mtoto wa Mtei ambae ni mwasisi na mwenyekiti wa kwanza wa chadema”. Hapo Bado hawajashika MELI wana mfumo mbovu hivi, vipi wakipata UNAHODHA.

Kiulinganishi Mmoja wa waomba nafasi ya UNAHODHA aliwahi kuwa mkuu wa MFUMO na MATOBO ALIYOYALETA kwa nchi hii yanafahamika. UKAWA WALILIONA HILI KUANZIA MUDA MREFU NA WALIMSHAMBULIA HADI AKAACHIA NGAZI, LEO HII WAMEMPA UONGOZI WAKITAKA AONGOZE JITIHADA ZAO ZA KUPEWA TENDA AMBAPO NAHODHA WAO ATAKUWA YULEYULE WALIYEMPINGA SIKU ZOTE. (This is Non-sense na ni hapa ndipo tunatakiwa Tunapoanza kuhoji na kupata mashaka kwamba huyu NAHODHA anayetafuta nafasi kwa nguvu zote hataleta mtandao wake kama ambavyo amekwishaanza kwa kumvuta SUMA-YEYE?

Watanzania hatuko tayari kumkabidhi fisi bucha, hatuwezi kutoa tenda ya UNAHODHA wa meli kwa NAHODHA MCHOVU, anayepita mitaani kujua matatizo wakati safari imekwishawadia, hatuko tayari kuzama. Ninaamini TINGATINGA la kazi lipo Kura Yangu nitampa NAHODHA SAHIHI MTENDAJI WA KUAMINIKA Dr. JOHN POMBE MAGUFULI “Every era has its chair, THIS IS MAGUFULI’s ERA #HapaKaziTu
hakika safari iliyobora zaidi inahitaji nahodha aliye imara na si legelege,hadithi hii inanikumbusha mara kadhaa wakati nikiwa nasafiri na meli, nahodha akiwa si mchapakazi basi anaweza kuwapotezea watu maisha na kuchukia hata usafiri wenyewe,upotevu wa mali ndani ya chombo hicho,kwasababu nahodha asipokuwa imara kuhakikisha usafiri unakua wa salama hakika meli itaenda mrama kutokana na ubora wake kuwa mdogo.mtanzania kuwa makini usimpe nahodha mchovu meli hii{lowaaa}kwasababu ya historia yake yakuzamisha majahazi mengi ambayo aliwahi kuyaongoza.fanya uamuzi sahihi kuiokoa meli hii,chagua kiongozi aliye mchapakazi na si legelege.kura yako ni kwa john pombe magufuli kwa mafanikio bora ya meli yetu.
 
Nimegundua mna ushabiki,hv ikitokea watu ambao ni marafiki wakawa na uwezo mkubwa wa uongozi kuliko wengine,na wao wanayemtafuta ni kiongozi,si watamteua miongoni mwao ambaye wamekubaliana wote?MBOWE NI KIONGOZI,Kwa kuthibitisha hili natoa mfano,;hivi familia nne zenye baba na mama ambazo kila familia wana miiko yao na utaratibu wao,alafu wakasafiri kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa pamoja,wakakaa kikao na kukuteua uwe kiongozi mkuu wa familia zote ,unahsi utakuwa ni mtu wa kawaida?hapana wewe una uwezo mkubwa
 
Wengi wa wanaosapoti UKAWA wana hoja kwamba MAGUFULI hafai kuwa Raisi kwasababu eti yu katika MFUMO (SYSTEM) ambayo ndio tatizo. Watu hawa wamefika mbele zaidi na kutoa mifano ya Nahodha mzuri (MAGUFULI) ambaye wanadai hawezi kuivusha meli mbovu iliyotoboka kutokana na dhoruba. Nitajadili hoja hii kwa kujikita zaidi katika mfano huu huu wa MELI na NAHODHA (Meli na Nahodha zikisimama “symbolize” kwa nafasi ya Nchi na Raisi)

Kwa kawaida kabla ya NAHODHA kuanza safari HUKAGUA MELI yake kuhakikisha iko salama ikiwa ni moja kati ya jitihada za kuhakikisha anamaliza safari salama. Ukaguzi huu hauishii tu kwa NAHODHA kukagua MELI, Uimara na utayari wa Nahodha kukisimamia chombo pia ni suala la msingi na muhimu (ikumbukwe ukaguzi haufanywi kwa kukurupuka tu SAFARI ikikaribia kwani unaweza kufika katikati ya SAFARI na kugundua hukuandaa kila kitu hivyo kuangamiza KILA KILICHOMO KWENYE MELI kwa kifupi ni kwamba Maandalizi Kurupushi ya maigizo ni HATARI sana kwa SAFARI hii).

Ni dhahiri kuwa MAGUFULI alifanya UKAGUZI SAHIHI WA MELI HII kabla ya kuanza kwa safari na amelidhihirisha hilo katika Wizara zote alizoziongoza na ndio maana hahitaji kuingia kwenye masoko na na barabarani leo hii kutafuta matatizo kwani ni wazi ukikurupuka unaweza pata SPARE ZA KICHINA zisizoweza kustahimili MAWIMBI NA DHORUBA YA SAFARI HASA PALE UNAPOKUWA NA NAHODHA ASIYE NA UTAYARI WA KIUTENDAJI NA KIAFYA. Umuhimu wa NAHODHA imara upo waziwazi kwani hata tukirudi kwenye Maandiko matakatifu wakati Bwana Yesu alipokuwa akisafiri na wanafunzi wake aliamshwa kutoka usingizini ili kutuliza Dhoruba (naomba nieleweke simfananishi kwa namna yeyote ile Mgombea yeyote Yule na Bwana Yesu BALI naonyesha umuhimu wa Nahodha hodari katika safari)

Ieleweke kwamba kama MELI ina matobo hata kutia Nanga haitoweza kwani ITAZAMA. Kichekesho kinakuja unapowauliza UKAWA ni jinsi gani Watatuvusha katika Dhoruba hii wengi hujibu “haijalishi nahodha gani anaingia kuongoza alimradi wasafirishaji hawa wametoka kwanza”, haya ni majibu yanayostahili kuitwa ya KILOFA. Hatuwezi kufanya gambling katika uongozi wa Nchi la sivyo yatatukumba kama yaliyoikumba Titanic. Hatutaki kupata NAHODHA yeyote tu aingie KUONGOZA MELI hii, Tunataka aliyejipanga kuongoza nchi apate nafasi hiyo. Hatutaki NAHODHA aliyehamia kampuni nyingine kutafuta nafasi ileile aliyonyimwa katika kampuni ya awali baada ya kunyimwa kazi kisa alizamisha Boti na Mitumbwi hapo kabla kisha leo hii tumpe unahodha wa MELI KUBWA.

Ikumbukwe pia Mfumo unaundwa na Wanasiasa (Politicians) + Watendaji (Bureaucrats). Politicians hupatikana kwa kura lakini Bureaucrats hupatikana kwa Merits. Bureaucrats wanatakiwa kuwa non-political lakini kwa mfumo wa Nchi yetu ulivyo sasa wako subordinate to Politicians ambapo WAZIRI MKUU ndiye MKUU WAO. CHADEMA wanasema wanataka kupambana na MFUMO lakini wameshindwa kuuvunja MFUMO MBOVU WALIO NAO HIVI SASA. Nikirejea moja kati ya thread zilizowekwa humu ndani kuelezea mfumo wa CHADEMA unaohoji Jinsi CHADEMA wanavyopeana uongozi na kuachiana vyeo ni dhahiri mfumo wao ni mbovu zaidi. Nanukuu “Aliyeanzisha chama ni Edwin Mtei na ndiyo mwasisi wa Chadema na ndio Mwenyekiti wa kwanza wa Chama hicho, Mwenyekiti aliyefuata ni marehemu Bob Makani ambae alimuoa dada wa Mtei, na Mwenyekiti wa sasa Kamuoa mtoto wa Mtei ambae ni mwasisi na mwenyekiti wa kwanza wa chadema”. Hapo Bado hawajashika MELI wana mfumo mbovu hivi, vipi wakipata UNAHODHA.

Kiulinganishi Mmoja wa waomba nafasi ya UNAHODHA aliwahi kuwa mkuu wa MFUMO na MATOBO ALIYOYALETA kwa nchi hii yanafahamika. UKAWA WALILIONA HILI KUANZIA MUDA MREFU NA WALIMSHAMBULIA HADI AKAACHIA NGAZI, LEO HII WAMEMPA UONGOZI WAKITAKA AONGOZE JITIHADA ZAO ZA KUPEWA TENDA AMBAPO NAHODHA WAO ATAKUWA YULEYULE WALIYEMPINGA SIKU ZOTE. (This is Non-sense na ni hapa ndipo tunatakiwa Tunapoanza kuhoji na kupata mashaka kwamba huyu NAHODHA anayetafuta nafasi kwa nguvu zote hataleta mtandao wake kama ambavyo amekwishaanza kwa kumvuta SUMA-YEYE?

Watanzania hatuko tayari kumkabidhi fisi bucha, hatuwezi kutoa tenda ya UNAHODHA wa meli kwa NAHODHA MCHOVU, anayepita mitaani kujua matatizo wakati safari imekwishawadia, hatuko tayari kuzama. Ninaamini TINGATINGA la kazi lipo Kura Yangu nitampa NAHODHA SAHIHI MTENDAJI WA KUAMINIKA Dr. JOHN POMBE MAGUFULI “Every era has its chair, THIS IS MAGUFULI’s ERA #HapaKaziTu
nimekuelewa sana muheshimiwa,naomba nieke wazi nahodha wangu ni john pombe magufuli
 
Kitu kikisha buma kimebuma hamna cha maelezo wala nini watanzania tumesha sema ccm hatuitaki hatuitaki.
 
Hii forum ni ya watu intelectual, wengine wanafuata mikumbo olele hueleweki, wasaidizi akina nani, hao ambao walishindwa unahodha miaka mingi iliyopita
mkuu una siku kumi tu unaanza kutukana watu je ukikaa mwezi mmoja si utamtukana hata invisible wewe
 
Back
Top Bottom