Recent content by Rutana

  1. R

    JamiiForums Tanzania FDLR ku-surrender ni nini chanzo chake?

    Hivi karibuni kundi la wapiganaji wa FDLR walioko DRC wameamua yaishe na hivyo kujisalimisha. Ni nini sababu ya kufikia hatua hiyo.Tujadili
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nawaza zaidi ya wao: UKAWA ni distraction ya mgogoro wa CHADEMA

    Nilitegemea Juliana kufikiria zaidi mambo ya chama chake kipenzi na siyo kuwafikiria wana chadema.Suala la uongozi ndani ya chadema liachiwe wanachama
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hasara na Faida za Kuongeza vipindi vya Urais nchini Burundi

    Hivi karibuni imepitishwa nchini Burundi kwa rais wa sasa Pierre Nkurunziza kuweza kugombea kipindi cha tatu cha urais nchini humo badala ya vipindi viwili kama ilivyokuwa imeainishwa kwenye katiba yao ya sasa. Ni nini faida na hasara kwa nchi hiyo kwa uamuzi huo????
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ni nini mazuri na mabaya ya Marehemu Askofu Mdimi Mhogolo kwa Kanisa la Anglikana Tanzania?

    Kama ilivyotangazwa leo 27.3.2014, aliyekuwa Askofu wa Diocese of Central Tanganyika(DCT) wa Kanisa la Anglikana Tanzania amefariki dunia akiwa kwenye matibabu nchini Afrika ya Kusini. Ni wakati muafaka kujadili mazuri na mabaya yake kwa dayosisi yake aliyokuwa anaongoza na kwa Kanisa la...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Bei ya mashine ya kusaga na kukoboa

    Asante mdau kwa mwongozo
  6. R

    JamiiForums Tanzania Bei ya mashine ya kusaga na kukoboa

    Ndugu wadau naombeni kufahamishwa bei ya mashine mpya ya kusaga na kukoboa kwa dar es salaam.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Nyaronyo Kicheere 'ahamia CCM'

    Naombeni kupata orodha ya waandishi wanaotoa makala zao kwenye magazeti nchini Tanzania kwa kutumia lugha ya mafumbo kama afanyavyo Kicheere Mwita Nyaronyo.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nyaronyo Kicheere 'ahamia CCM'

    Kimsingi makala ya Nyaronyo Mwita Kicheere yenye kichwa cha habari " Nimehamia CCM, CHADEMA hakunifai" ambayo ameitoa kwenye gazeti la ----- la leo 20/2/2014 ni makala ya kuwananga viongozi wa CCM na serikali yake. Mifano yote aliyotoa ni kwa lengo la kuonesha kimafumbo namna ambavyo viongozi wa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Kagame wanaendelea kuichokonoa Serikali ya Tanzania

    Naombeni mantiki ya Tanzania kuji-komba komba kwa Kagame inapotokea Rwanda wameandika news mbaya kuhusu Tanzania.Kwa mfano nasikia Tanzania imemtuma Mh. Mwandosya kwenda Rwanda kwa mazungumzo na serikali ya Rwanda kutokana na story iliyoandikwa na gazeti moja la Rwanda ya kuwa Rais Kikwete...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ni nani anayesimamia magari ya maji Taka ya Watu Binafsi Nchini?

    Kuna haja ya kuwepo na chombo kinachosimamia(regulate) bei za kuzoa maji taka hapa nchini Tanzania kwa wamiliki wa magari ya maji taka ya watu binafsi . Kwa sasa hali ilivyo mfano jijini DSM kila mmiliki anaamua bei anayotaka katika kutoa huduma hii. Naomba mjadala wa kujenga juu ya suala hili.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Pongezi Dr. Kitila Mkumbo

    Kutokana na mwenendo wa Zitto ulivyo kwa sasa inaonekana hana busara hata ya kawaida. Huwezi kutoa utetezi na kabla ya utetezi kusikilizwa na chombo husika anaanza mikutano ya hadhara ya kutoa shutuma dhidi ya chombo alichotoa utetezi.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Shamba la ekari 30 linauzwa Msoga Bagamoyo Tanzania

    EWGM's bado nasubiri e-mail address yako kwa ajili ya kukutumia picha ya shamba husika
  13. R

    JamiiForums Tanzania Shamba la ekari 30 linauzwa Msoga Bagamoyo Tanzania

    Shamba halina mazao, zao kubwa lililokuwa likilimwa ni mahindi na mbaazi. Mauzo yanaanza kwa ekari kumi na kuendelea.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Shamba la ekari 30 linauzwa Msoga Bagamoyo Tanzania

    Kusema kweli shamba halina mto karibu, isipokuwa karibu yake kuna bonde ambalo hutunza maji ya mvua ambayo baadaye wakati wa kiangazi maji hayo hukauka.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Shamba la ekari 30 linauzwa Msoga Bagamoyo Tanzania

    Ndugu EWGM's, inawezekana kabisa kuuziwa ekari 15, hivyo tuma e-mail address yako kwa ajili ya kukutumia picha ya shamba husika.
Back
Top Bottom