Recent content by RUTAMBUKAMALOGO

  1. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Finally nimeshindwa kujizuia, yule beki 3 imebidi nimtafune

    Ila elewa hakuna beki 3 mgumba Sent using Jamii Forums mobile app
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wakili msomi Peter Kibatala: Wasifu (CV) wake na historia yake katika kuendesha kesi

    Lengo la cross- examination huwa ni kuonesha nyufa za ushahidi uliotolewa mahakamani, na ili ushahidi ukubaliwe ni lazima imalize reasonable doubt zote which rised in the court of law, sasa witness anaposhindwa kutoa ushahidi au kutoa ushahidi wenye kutiliwa shaka ushahidi wake hauwezi kuwa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yatupilia mbali pingamizi la CUF (upande wa Maalim Seif) kuhusu ruzuku

    Struck out sio dismissal uelewe, ni mapungufu ya kisheria wanarekebisha na Ku file upya kitu ambacho tayari wamekifanya Sent using Jamii Forums mobile app
  4. R

    JamiiForums Tanzania KISUTU, DAR: Tundu Lissu afikishwa Mahakamani Kisutu, akosa dhamana

    Ametenda kosa kwa kuvunja sheria IPI? Wewe una mamlaka gani ya kujua kuwa ilo ni kosa? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. R

    JamiiForums Tanzania KIBITI: Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mangwi wauawa kwa kupigwa risasi

    Amani ya nchi ni wananchi kutoa ushirikiano kwa dola, bila ushirikiano ni vigumu ila ni vilahisi ukiwataja waonekane uone, unknown killer ni very dangerous hivo toeni,ushirikiano kwa Police, Jwtz, TIS muone
  6. R

    JamiiForums Tanzania Hatimaye IGP Sirro atembelea na kujionea hali halisi ya Kibiti na Mkuranga mkoa wa Pwani

    Ni jeshi gani ktk dunia ya leo ambalo halina intelligence unit? Kagera, Arusha mbona kuliwashinda lkn jwtz wakaweza?
  7. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa Fifa atuma Salamu za pongezi kwa Yanga fc kuwa mabingwa

    Rais wa FIFA ndo anatoa maamuzi ya rufaa? Mnajua muundo wa FIFA au?
  8. R

    JamiiForums Tanzania Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

    Tunalo tatizo kubwa, pengine imekuwa sifa mojawapo ya kupandishwa cheo, Ni sababu IPI ilimfanya afyatue risasi hovyo? Hawana discpline ya silaha hata kidogo ni ujinga mtupu
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mliobadili ID....

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] we unawaza kutongoza tu Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini uhakiki wa Vyeti haukufanywa kwenye vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kama Jeshi la Polisi?

    Ni akili za kibashite kufikiri kuwa ktk majeshi hakuna wasomi.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

    Nivyenyewe
  12. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Madini mengine ya Tanzania si yetu Kisheria

    Kichaa nani hapo? Wewe au yeye?
Back
Top Bottom