Natafuta kaz Arusha,,,Nina uzoefu na kaz za satellites/security system, pia security guard, hizo kaz nina uzoefu nazo kwa miaka 3,,,,_,,+255763479479,,,,,Elim Diploma ya Telecommunications
Jamani nimefuatilia mafao yangu PPF hivi sasa ni miezi 8 lakini kila ukifika ofisini kwao wanapiga tarehe wanakwambia njoo mwez ujao bado serekal inashughulikia hizo pesa. Ukiuliza kwanini zimezuiliwa hawana majibu.
Hawa TUCTA nao ni jipu hawataki kutoa tamko kuhusu pesa zetu huko PPF.
Leo ni ile siku ya #MaBashite #Duniani 1st April, so usije ukaona breaking news leo morning eti "#Rihanna afunguka jinsi anavyomzimikia #HarmoRapa kitu ambacho kimesababisha #Drake kumuwekea #bifu #Harmo" na wewe kwa #Ukoromije wako ukaamini. Ni hayo tu, msije mkasema sikuwaambia mapema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.