Mheshimiwa unamfaham bashite

Russely

Member
Mar 27, 2017
12
1
Leo ni ile siku ya [HASHTAG]#MaBashite[/HASHTAG] [HASHTAG]#Duniani[/HASHTAG] 1st April, so usije ukaona breaking news leo morning eti "[HASHTAG]#Rihanna[/HASHTAG] afunguka jinsi anavyomzimikia [HASHTAG]#HarmoRapa[/HASHTAG] kitu ambacho kimesababisha [HASHTAG]#Drake[/HASHTAG] kumuwekea [HASHTAG]#bifu[/HASHTAG] [HASHTAG]#Harmo[/HASHTAG]" na wewe kwa [HASHTAG]#Ukoromije[/HASHTAG] wako ukaamini. Ni hayo tu, msije mkasema sikuwaambia mapema
 
Back
Top Bottom