R Russely Member Mar 27, 2017 12 1 Apr 15, 2017 #1 Natafuta kaz yeyote iwe halali ,ulinz,kuuza duka,Gardener, n.k nipo Arusha +255763479479
mojave JF-Expert Member Apr 30, 2016 5,567 6,409 Apr 15, 2017 #2 ebu unganisha dot vizuri ueleweke mkuu, au unaandika uko road unatembea. unganisha maelezo yako na heading
ebu unganisha dot vizuri ueleweke mkuu, au unaandika uko road unatembea. unganisha maelezo yako na heading
Th los proffcnal JF-Expert Member Feb 8, 2015 583 345 Apr 15, 2017 #3 Kama hujaamka utafute kazi wewe endelea kulala tu.
thesym JF-Expert Member Aug 15, 2012 3,825 4,754 Apr 15, 2017 #4 Nenda KK security kila siku wanaandikisha watu.
LTN USU WA MADOSO JF-Expert Member Sep 14, 2016 1,193 859 Apr 15, 2017 #5 Achana na kk security nenda g4s ingilia Mwanza post zao huwa Za mgodini tu hawana malindo ya kwenye nyumba za watu
Achana na kk security nenda g4s ingilia Mwanza post zao huwa Za mgodini tu hawana malindo ya kwenye nyumba za watu
R Russely Member Mar 27, 2017 12 1 Apr 15, 2017 Thread starter #6 thesym said: Nenda KK security kila siku wanaandikisha watu. Click to expand... Aya
R Russely Member Mar 27, 2017 12 1 Apr 15, 2017 Thread starter #7 LTN USU WA MADOSO said: Achana na kk security nenda g4s ingilia Mwanza post zao huwa Za mgodini tu hawana malindo ya kwenye nyumba za watu Click to expand... Mshahara bei gan
LTN USU WA MADOSO said: Achana na kk security nenda g4s ingilia Mwanza post zao huwa Za mgodini tu hawana malindo ya kwenye nyumba za watu Click to expand... Mshahara bei gan