Recent content by RushwaNiAduiwaHaki

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kasema mahari itatolewa mwakani,

    Asante Mdoe kwa kunitia moyo.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kasema mahari itatolewa mwakani,

    Bwana, Mataka mie kwa mawazo yangu sidhani kama 2017 ni issue, nadhani cha msingi hapa ni upendo wa dhati ulihitajika. Watu wanaoana baada ya miaka 10 ya uhusiano sembuse hii mitano? Okey, inawezekana ni kweli ulivyosema, sasa ngoja mie nikae pembeni nione kama kweli ataolewa by 2015, kama kweli...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kasema mahari itatolewa mwakani,

    Katika mzunguko wa maisha, nilibahatika kukutana na binti mmoja ambaye taratibu tulianza urafiki wa kawaida, kutokana na mfumo wa urafiki wetu ilifika mahali tukakubaliana kuanzisha uhusiano wa kimapenzi.Lakini wakati uhusiano huu wa kimapenzi ukiwa ndio umeanza nililazimika kuendelea na...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Dr. Slaa
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

    Dah....sasa hapa ni dillema. Hii si karne ya kusema ametekwa na wananchi tukaelewa. Subirini mengi tutasikia na hata akifa hii movement haitaisha kamwe.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wanachokitaka wanawake

    Mimi wangu kaniambia ananipenda kwanza kwa sababu mie ni mstaarabu kiasi, mcheshi kiasi na mchapakazi kwa nidhamu ya hali ya juu. Pia akaniambia kuwa ni kwa sababu nipo very concern na hofu ya Mungu.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Maalumu kwa wanaume wanaotaka kuoa.

    Dah....sijaoa ila nimkecheka mpaka basi. Kwa gharama hizo, sidhani kama kuna haja ya kufuata huu utaratibu wa kizungu, ni kufuata utaratibu wa jadi na kufanya maboresho machache tuu, yaani tuifahamu sehemu ya nyumba ya ibada ni wapi. Mbwembwe nyingine si muhimu sana ni umaskini wa kujitakia.
  8. R

    JamiiForums Tanzania He is 24 n she z 24...kutakua na ndoa kweli hapo!?

    inawezekana kabisa.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ananipenda, ninampenda...ila kuna mambo tunatofautiana....ushauri tafadhali.

    Ninashukuru sana kwa wale ambao wamenipa ushauri hapa, kwa wale walioponda vilevile nashukuru kwa sababu ndani yake nimeona point za msingi tuu. ASANTENI SANA, na nitaufanyia kazi ushauri wenu pia nikiongezea na kile ninachofikiri huku nikiamini kuwa mawazo yenu yatanisaidia sana.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Anachotaka ni mimba tu!

    Kifupi ni hivi, Jamaa kama ana akili TIMAMU jibu ni rahisi tuu....'NO' hamna lingine lililo sahihi hapa.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ananipenda, ninampenda...ila kuna mambo tunatofautiana....ushauri tafadhali.

    Mimi ni Kijana mwenye umri wa miaka 24 na nipo Chuoni nikisomea ngazi ya stashahada(Diploma) na nipo mwaka wa tatu(mwisho).Katika maisha yangu nilipanga kuwa nitaoa nikiwa na miaka kama 35 hivi na hii inamaanisha kuwa nitakuwa nimepata fursa pia ya kujiendeleza kimasomo katika ngazi ya...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    utampata tuu,cha msingi sali sana.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    Wadau naomba kuwauliza. Je kuna range ya umri ambao utawafanya wapenzi waelewane na kupendana zaidi, yaani range iwe miaka mingapi? 2, 3 au 5? Pia kuna hili la Dini,huwa ni kigezo muhimu cha kuzingatia unapochagua mtu wa kuwa naye maishni? Pai kuhusu aina ya familia mnazotoka kama vile Tajiri...
Back
Top Bottom