Recent content by Rushoke

  1. R

    Safu ya Uongozi (CHADEMA) vyuo vikuu ni hii

    Inabidi uwe na akili ya kichaa kuamini "message" kama hii. Vyuo vyote unavyovitaja karibu vyote vinatoa shahada za miaka mitatu. Hata kama tukia "assume" wote waliochaguliwa ni first years (ambao hawana hata miezi viwili) toka ambacho si rahisi kwa akili ya haraka kuwe coincidence kwa vyuo vyote...
  2. R

    Unaupimaje utendaji wa Waziri wa uchukuzi?

    Hivi na hiyo unataka waziri akusaidie. Km unajua ulitozwa nauli kimakosa wewe binafsi ulichukua hatua gani? Acha kujicholesha mkuu
  3. R

    Mishahara ya madaktari kwa baadhi ya nchi za Afrika

    Soma uelewe keshakwambia kwa shillingi ya Tanzania.
  4. R

    Mishahara ya madaktari kwa baadhi ya nchi za Afrika

    Mbwa wewe km hivyo basi serikali ya Tanzania ingekuwa inatumia magari ya Vtz. Mbona nchi km Rwanda ambazo uchumi unafanya vizuri hawana anasa za serikali km Tanzania
  5. R

    Hii ni Dharau kwa Fani ya Udaktari!

    TELO Usibishe bure mkuu. Tutorial Assistant anayeanza kazi mshahara wake ni mdogo lkn unazidi wa daktari. Ukweli ndo huo
  6. R

    Kamanda Chagonja amtisha na kumkejeli Dr. Ulimboka

    Huyo Kamanda shoga atatwambia nini. Hao ndo wauza unga wa Tanzania. Pumbavu zake. Na ajue siku moja atakufa na atazikwa bila hata hayo manguo yake. Wote watakufa tu tena yawezekana atakufa kwa kifo kibaya zaidi walichotaka kimpate Dr. Ulimboka.
  7. R

    Dr. Ulimboka apelekwa nje kwa matibabu zaidi...

    Asante mkuu kwa taarifa. Mungu amtangulie Dr Ulimboka ktk mateso yake na apone haraka.
  8. R

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

    28th June 2012 Dk. Ulimboka atekwa apigwa nusu kufa Muhimbili, KCMC Madaktari wataharuki Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania, Stephen Ulimboka, akiwa ametapakaa damu baada ya kutekwa na kupigwa vibaya na watu wasiojulikana akiwa katika gari akipelekwa...
  9. R

    NONSENSE: Madaktari Wamelipwa na Kundi fulani ili Wagome ILI Nchi isitawalike!

    Hivi ukiwa CCM akili hata ya mtoto wa chekechea unakuwa huna. Shame on her. Ila iko siku.
  10. R

    UDSM kuna nini jamani?

    Taarifa nilizo nazo ni kuwa Dr. Lwaitama kastaafu na hajapenda kuomba mkataba. Ikumbukwe si wote wanaostaafu hupenda kueendelea na kazi hiyo na mifano ni mingi sana. Prof. Baregu ni kwa vile aliomba mkataba lkn serikali ilimbania, ila Dr. Lwaitama hajaomba mkataba na hii si ajabu. Lkn pia...
  11. R

    UDSM kuna nini jamani?

    Kwa taarifa nilizo nazo kutoka kwa mmoja wa rafiki zake wa karibu anasema yeye hajependa kuomba mkataba. Maana ukistaafu unaomba mkataba, na si wote wanaostaafu wanaendelea na kazi ya academics, wengine huamua kufanya mambo yao binafsi na mifano iko mingi. Lkn pia inawezekana ameamua kutoomba...
  12. R

    Angalia na Usikie MWENYEWE!

    Najisikia fahari sana, nilichangia kwa kiasi kikubwa ushindi wa huyu mheshimiwa mbunge. Nilisafiri kutoka Dar kwenda kupiga kura kwa maana nilijiandikisha Iringa lkn kipindi uchaguzi unakaribia nilikuwa nililazimika kukatisha shughuli zangu ili kura yangu isiharibike. Pili nilishiriki...
  13. R

    Wakuu wapya wa wilaya kusaidia kukabiliana na nguvu ya CDM nchini-Dk Benson Bana

    Hivi Dkt.Bana anawapa waandishi wa habari fedha ili kila kitu wamuulize yeye au? Mbona ile idara ina wataalamu wengi wazuri wa kuchambua mambo? Naona anazidi kuonyesha kuwa vyeo vya DC vinapaswa kuondolewa maana hawa wanalipwa mishahara na serikali ili hali kazi zao ni kujenga chama.
  14. R

    CV ya William Lukuvi

    H William twambie basi kwa upinzani mtu aliye na cheo kinachoshabihiana na cha Lukuvi ni nani km si Lisu Tundu, maana binafsi najua wote ni wanadhimu.
  15. R

    CV ya William Lukuvi

    Kwa upinzani aliye na nafasi ya kufanana na Lukuvi bungeni japo kwa mbali ni Tundu Lisu. Unahitaji kuwa maiti kutaka kulinganisha CV ya Lisu na Lukuvi!!!
Back
Top Bottom