Mpenzi na mshabiki wa YANGA tutakuletea moja kwa moja kinachojiri KWENYE KUBWA KULIKO LEO. LEO NI KUVUNA HELA! BODA BODA FC TUKUTANE MSIMU UJAO! Tuwe pamoja....
Biashara ya kweli imekuwa balaa! Sasa hivi ukitaka kuona habari ya azam SAA mbili inabidi ulipie kinga'mzichako na bado utoe hela ya ziada kwenye app yao!
Hivi hawaoni uchumi wa watu sasa hivi? Hivi tcra wapo wapi?
Jamani azam TV wamepatwa na nini?
Mimi namtaji wa shilingi milioni 2 nataka nifunfue duka la dawa baridi: Ila stalipia fremu maana banda ni langu! Ushauri juu ya changamoto inayoweza kunikuta! Karibuni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.