Recent content by Runyota

  1. Runyota

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA Musoma Mjini - Septemba 22, 2014

    kibali cha nn? Wakati hata vituo vya polisi majambaz yanavivamia!
  2. Runyota

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Maelezo yangu kuhusu kazi za Kigoma AllStars/LEKADUTIGITE kwa NSSF na TANAPA

    kwa hyo unafagilia mafisadi wa cdm au?
  3. Runyota

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Uchaguzi wa CHADEMA Kitaifa ni Baada ya Uchaguzi Mkuu 2015!

    Huu ndo udikteta sasa na si demokrasia! Chama cha Dekteta na Mahafidhina (cdm)
  4. Runyota

    JamiiForums Tanzania Mitihani inayowakabili wanawake: Unapopendwa pale usipopenda....!

    mi nilisubiri mwanamke wa aina hyo hatimaye nilimpata mwaka 2007, sasa ni mke wa ndoa na tuna watoto wawili
  5. Runyota

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu: Usikilizwaji wa UAMUZI wa pingamizi la Zitto dhidi ya CC ya CHADEMA

    Na nyie Jf ni vibaraka wa cdm tu!
  6. Runyota

    JamiiForums Tanzania PICHA: Zitto Kabwe afunika Mkutano wa Hadhara huko Kigoma Mjini

    acha wewe, sera ya chadema inasema mbunge yeyote hatakiwi kupokea posho bungeni, lakin ni Zitto tu ndiye anayefuata katiba ya cdm! Je! Nani msaliti?
  7. Runyota

    JamiiForums Tanzania Lipumba akiri kumsaidia Kikwete Uchaguzi 2010

    Nsha sema nchi hii 2015 2jiandae na vita kama si UDINI, USIASA, UKABILA au UKANDA, ni lazima!
  8. Runyota

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Magufuli ajibu hoja za Kambi Rasmi ya Upinzani (Bajeti ya Ujenzi)

    Ishi! Kumbe Rais anaendaga nje kutafuta fedha, na Rais wa China alikuja kufanya nini sasa?
  9. Runyota

    JamiiForums Tanzania Clouds FM wamburuza mahakamani Lady JayDee, kesi yapigwa kalenda hadi Mei 27...

    Clouds Fm hawafai msanii bila kuwahonga Ruge, maprisenter, maDJ na mashabiki wao wanaoRequest nyimbo (ummy kitwana na Daud wa kota), Hutoki TZ!
  10. Runyota

    JamiiForums Tanzania Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

    CCM imebuma!
  11. Runyota

    JamiiForums Tanzania Muswada wa kuzuia Maandamano nchini waja...

    Hawa CCM hawajui kuwa wenyenchi wanakereka, na watambue kuwa haki hiyo ya maandamano wataitafuta na hawataipata kuanzia 2015!
Back
Top Bottom