Recent content by Rungu

  1. Rungu

    JamiiForums Tanzania Nigeria na Tanzania ni nchi zitakazowekewa vikwazo vya usafiri na Marekani

    Ulikuwa umelala?
  2. Rungu

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni Dikteta anayetoa Ruzuku kwa vyama vya siasa!

    Dikteta anayefuata katiba? Duh, hii mpya.
  3. Rungu

    JamiiForums Tanzania Polisi wabadili gia angani, Wanadai hawajui alipo Mfanyakazi wa LHRC Tito Magoti

    Unatetea makosa ya uandishi au?
  4. Rungu

    JamiiForums Tanzania Buriani Ali Abdul Mufuruki, Mhandisi mwenye mapito mengi kwenye Biashara

    Kijana tulia. Wakati upo Tambaza wengine tayari tulishakuwa baba watoto.
  5. Rungu

    JamiiForums Tanzania Buriani Ali Abdul Mufuruki, Mhandisi mwenye mapito mengi kwenye Biashara

    Unapoteza muda wako bure na huyo "mjuaji".
  6. Rungu

    JamiiForums Tanzania Kujirudi kwa CHADEMA kwashangaza! Wengi wahoji huenda ni mbinu za Mbowe kuzima makombora ya Sumaye?

    Sina muda na haja ya kufanya hiyo "reasoning".
  7. Rungu

    JamiiForums Tanzania Kujirudi kwa CHADEMA kwashangaza! Wengi wahoji huenda ni mbinu za Mbowe kuzima makombora ya Sumaye?

    Nadhani wamejishtukia baada ya kuona siasa za kususa susa zimefeli vibaya. Hawana namna.
  8. Rungu

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere vs Thabita Siwale

    Umepatia; kwa sisi tuliokuwa vijana na mashuhuda enzi hizo. Makongoro (Mako) ndiye aliyekuwa anasoma Tabora Boys wakati huo na hahusiani kabisa na tukio (la John pale Mazengo). Ingawa Makongoro naye alikuwa mtukutu fulani hivi pale Tabora Boys (ndie aliyekuwa drummer wa bendi ya muziki pale...
  9. Rungu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Timu ya Mbwana Samata, leo kupambana dhidi ya Liverpool

    www.hesgoal.com
  10. Rungu

    JamiiForums Tanzania Rais wa Afrika Kusini kufanya ziara ya siku 2 Tanzania

    Endelea. Kiingereza anachoongea Magufuli kinamtosha.
  11. Rungu

    JamiiForums Tanzania Rais wa Afrika Kusini kufanya ziara ya siku 2 Tanzania

    Endelea kuona Kiingereza ndio tiketi ya kuingia mbinguni. Siwezi kukusaidia kwa hilo.
  12. Rungu

    JamiiForums Tanzania Rais wa Afrika Kusini kufanya ziara ya siku 2 Tanzania

    Inasikitisha. Huyo unayesema "hawezi" kuongea Kiingereza ni rais wa nchi na amekuwa waziri kwa takriban miongo miwili. Wewe "unayeweza" kuongea hicho Kiingereza umefanya nini cha kumshinda? Hebu tuache kuwa na akili za kitumwa kidogo. Chuki zako binafsi kwa Magufuli hazitakusaidia sana.
Back
Top Bottom