Tusubiri kitu kinapigiwa chumbani kwako kimya kimya,Nafikiri Magu hana utaalamu wa tehama ndio maana wameweka hii paragrafu "Mtalaam huyo wa masuala ya mifumo ya kompyuta, ameliambia JAMHURI, ni rahisi zaidi kwa mtu asiyekuwa na ufahamu wa masuala la Tehama kudanganywa katika mambo ‘technical’...
Budget nzima ni 32Trillion kwa mwaka wa fedha 2017/2018. Hii ina maanisha tunatakiwa kukusanya 8 trillion kwa quota moja sasa TRA wamekusanya 3.65 ambayo iko chini kwa 4.35 Trillion kwa qouta ya kwanza, in maana kwa quota ya kwanza tumetegemea wafadhili au vyanzo vingine kwa 54.38%. Na kama...
CCM wameon jamaa kabana sasa wanatumia zilizopo kidogo kuhonga na kutolipa hongo yenyewe ili jamaa aachie hela ya uchaguzi maisha yao yaendelee maana zikiachiwa 250m kwa uchaguzi wa diwani hapo ni 80m ndio itatumika nyingine kwenye matumbo yao.
Hapa nachoona ni kwamba hela za kukuza skilled labour zilikua zinatolewa na wahisani na kiasi fulani serikali ilikua inachangia, sasa kilichotufikisha hapa ni wapigaji ambao serikali ya CCM imekua ikiwachagua kila kipindi, ili waendeleze kupiga, na kuchaguana kama vile kwenye chama cha CCM...
G4S ni makaburu sasa naona wamewaondoa wafanyakazi ambao labda wanaona jinsi dhahabu invyopakiwa kwenye denge zao ili G4S iwasaidie kutorosha madini yetu.
Wai hili linchi la ajabu sana. Kama mkuu wa mkoa ni cheo cha kisiasa basi asisimamie maendeleo ambayo kwa wakati mwingine yanafanywa na watu wenye elimu zao. Hao ni kutuambia mtu wa darasa la saba amsimamie Engineer wa mkoa sababu tu anajua kusoma. Natamani hata kutukana.
Meaning of Bipolar disorder:
a mental disorder marked by alternating periods of elation and depression.
Signs of chronic mental illnesses such as bipolar disorder or schizophrenia may first show up in childhood.
Pia huwatokea watu waliokwisha kuua maana kuna kipindi unakua kama mwehu sababu ya...
Hapo inaonyesha IQ ya obama ni very low na anafanya maamuzi ya kitoto. Kwa mfano swala la urusi Putini amemwambia atoe ushahidi ulio wa wazi na usio na shaka, ameshindwa sasa anafanya kukomoa. Urusi nayo ikijibu ndio mwanzo wa vita baridi. Jingine ni hili la Israeli maamuzi ambayo alitakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.