Wale waliosoma Lomwe sec/high school

Wale waliosoma Lomwe sec/high school

Wengi walihama ila Makala akaja kuwa Academic Master na Kabulunge alipigaga mwanafunzi 1 wa kike jirani na familia yangu,walikuwa wakigegedana na mwenzake mwanaume akawafumania. Kilikuwa kipondo heavy,akapelekwa police,kina Kangero wakamtoa. Akaja kuwa kimya.
aisee noma Sana.ahsante kwa taarifa mkuu
 
Hahahahaaaa.....naskia Minja walikuja kucheza mpira Lomwe,wakasepa na msosi wa jioni wa Lomwe kule jikoni. Tehe tehe teh.....sasa hivi zote zimetulia.

mkuu tena ulikuwa mfungo wa ramadhani baada ya ugomvi tulitembeza kibano kutoka uanjani mpaka kwenye mabweni ndo watu wakala futari laaa yaani keaho yake headmaster alikuja shuleni kusueiasha yakaisha hiyo ni 1994
 
mkuu tena ulikuwa mfungo wa ramadhani baada ya ugomvi tulitembeza kibano kutoka uanjani mpaka kwenye mabweni ndo watu wakala futari laaa yaani keaho yake headmaster alikuja shuleni kusueiasha yakaisha hiyo ni 1994

Vp,na ule ugomvi wa wanafunzi Shighatini na headmaster,wakarusha gari ya shule bondeni na kuchinja ng'ombe wa shule na kuhamia porini wanafunzi wote. Hiyo uliikuta? Usangi girls nao kufungiwa kwa kumbaka mlinzi je?
 
Vp,na ule ugomvi wa wanafunzi Shighatini na headmaster,wakarusha gari ya shule bondeni na kuchinja ng'ombe wa shule na kuhamia porini wanafunzi wote. Hiyo uliikuta? Usangi girls nao kufungiwa kwa kumbaka mlinzi je?

mkuu nadhani hiyo nilikuwa nimeishatoka yaani nimengi ya kukumbuka yaani natamani nifike uko nione hali ya uko
 
Hahah bwana kabu alinisumbuaga sana yan toka fom 1 mpk naua 4 alkua anataman kwel nifukuzwe ila nkaishia kula suspension' hv wale mlisoma lomwe ya miaka ya 90 kabu alikuja lomwe mwk gani?
Usang girls watoto wa kule walitupa sana huduma
Nimekumbuka kuoga mtoni sana af lomwe bana et ukikutwa unaoga mtoni kosa' haha
 
Mnamkumbuka uncle Dimbwi? Halafu kuna wale wajamaa wenye vichwa vidogo sana walikuwa wanapenda kushinda pale Lomwe mida ya msosi,mwanamme tulikuwa tunamwita Chedi(nzuri) na mwanamke jina lake halisi anaitwa Rhoda.
Haha haha mweh umenikumbusha mbal sn
Nimechela mno dah
 
Nikumbusheni mwalimu wa English f1 those dayz 1996 nlikua pale. Kuna dada alikua anaitwa shaki alikua hapangi foleni jikoni hahaha. ...wasn't high school those dayz! !nlikua bweni la juu kule MAJUMBA! !!
 
Hizi shule za mchangani nazo ni za kufunguliwa uzi humu kweli?
 
hivi head master wa kiriki sec alikua anaitwa nani 1992 hadi 1996
 
Lomwe nimefanya field hapo mwaka 2012, kuna mkuu wa shule mmoja hivi alikuwa anaogopeka kinoma
 
LOMWE UDUMU MILELE............. LONG TIME AGO.... KANGERO AJALI KWASADALA....................
Unamaanisha nini hapo kwenye red kiongozi? Alipata ajali? Alifariki?
 
Lomwe ni maarufu sana kwa sababu ya Headmaster Kangero. Kielimu mpaka sasa Lomwe inatisha kielimu wilayani Mwanga. Kangero huenda akawa ni Headmaster wa kwanza hapa Tanzania kuwa kwenye shule moja kwa miaka mingi sana. Huenda ni zaidi ya miaka 30. Mpaka sasa ni Headmaster wa Lomwe. He is man of Discipline. Ni kama Ferguson na Mancheter united, au Mugabe na Zimbabwe au Seiph Blatter na Fifa. Shule zingine kama Shighatini,Minja na Kiriki zimefifia sana kielimu, huenda wakati wowote zikafungwa maana idadi ya wanafunzi wanaosoma hapo ni ndogo sana. Migogoro ya kidini, ujio wa shule nyingi za kata na uongozi mbovu wa shule hizo za Shighatini, Mruma na Kiriki unapelekea kufa kwa shule hizo.



Labda uzungumzie Shighatini na Minja .. Kiriki inazaidi ya wanafunzi 300 Je hawa wanafunzi ni wachache???....
 
Back
Top Bottom