Ila huyu jamaa ni mgonjwa, nimeangalia clip alivyokua anamtishia JK nimebaki naduwaa. nimeangalia clip nyingine anawatishia wanyarwanda utadhani anatiahia pepo wachafu...
Uyu wa kwetu atakuwa anaumwa nn
Kama ndiyo hivyo, basis serikali yetu au viongozi wa hiyo serikali wore watakua wanaugua hii kitu kasoro Mecki Sadiki na Waziri mwalimu
Kweli kabisa si kila tafiti lzm zi apply kwa kila mtu ila kama utaweza ebu Fanya simple survey kwa watu wenye akili sana na genius maprofesa utaona tabia zao km zina elements ya psychiatric disorder fulani they don't trust anyone they always isolated na hawakubali kushindwa ,soma history ya Galileo Galilei yeye alikuwa anatembea na Taa mchanaMkuu, Lincoln na Churchill kweli hata sura zao zilikuwa zinaonyesha vile, kwa wengine sina uhakika - mbona watu genius kama Nikolai Tesla, Edison, Albert Einstein na Josef Stalin hawakuwa na tatizi hilo.

Usaha wa vipele anavyotumbua umemdhuruUyu wa kwetu atakuwa anaumwa nn
Kweli kabisa si kila tafiti lzm zi apply kwa kila mtu ila kama utaweza ebu Fanya simple survey kwa watu wenye akili sana na genius maprofesa utaona tabia zao km zina elements ya psychiatric disorder fulani they don't trust anyone they always isolated na hawakubali kushindwa ,soma history ya Galileo Galilei yeye alikuwa anatembea na Taa mchana![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Tumeishampata. Au wewe ulishaama nchi!?....
Laiti tungepata kiongozi wa kufikiria watanzania tuwe mamilionea ndani ya utawala wake...... ingekuwa safi sana.
Kivipi mkuu unakua mwehu?Meaning of Bipolar disorder:
a mental disorder marked by alternating periods of elation and depression.
Signs of chronic mental illnesses such as bipolar disorder or schizophrenia may first show up in childhood.
Pia huwatokea watu waliokwisha kuua maana kuna kipindi unakua kama mwehu sababu ya damu.
Obama angekua ameshakua mwehu syria,iraq,jordan,libya kote huko ameaua mamilioni lkn anadunda tu.Au tufanye Putin Georgia,Chechyia,Ukraine ameua sana tuMeaning of Bipolar disorder:
a mental disorder marked by alternating periods of elation and depression.
Signs of chronic mental illnesses such as bipolar disorder or schizophrenia may first show up in childhood.
Pia huwatokea watu waliokwisha kuua maana kuna kipindi unakua kama mwehu sababu ya damu.
ha ha ha we mtu unakula ganjaNi mvutaji mzuri sana wa bangi, inasemekana alijifunza alipokuwa msituni kipindi kileee. Hata u-Skeleton wake unatokana na mimoshi ya bangi na pombe Kali. Upo uwezekano kwamba ameathilika mapafu na kisaikolojia. Ndio maana yupo mwehumwehu vile. Angekuwa na nuclear tungeisha zamaaani. HAKUNA MTU PALEE, LISHAKUWA KAMA VAMPIRE.