Mbona mahaba yenu ya siasa mnaleta kwenye michezo lazima kuwe na kitu ambacho tutakua pamojawatu wa itikadi zote za kisiasa
Kwa njia hiio tunajenga uadui usio na maana na tutafika mahali tusizikane na hiio si mila zetu hivyo hapa tujadili michezo siasa iende kwenye eneo la. Siasa
Lamasia kwasasa haina eachezaji wenye viwango na hiio hua inatokea kwa bahati ukapata kundimoja kwa mwaka ukapata wachezaji zaidi ya saba wote in wazuri kama class ya akina Messi kabla ya hapo walikua wananua sana kuanzia akina Etto Ibra Gaucho Rivaldo au mfano angalia ,class.ya. akina Beckham...
Tuzungumzie kwa hiki kizazi cha sasa lakinimsimalize maneno kama vile katika England hajatokei mchezaji kama yeye kwani kulikua na wachezaji kama Bobby More captain wa England miaka ya. 66 /70mpakasasa hajatokea kiungo kama Hugo na yeye na timu take wameleta kombe la dunia England jambo...
Lakini mbona mwenzake Gadiola alitengeneza viungo wengi tu mpaka wengine walikua bench nadhani Luis uwezo wake mdogo na kuna tetesi kuna coach aliekua timu B huenda akapewa timu maana hata wale watu watatu hodari kwa sasa ile spidi yà kufunga imepungua
Kenya katika miundo mbinu wako mbali siku nyingi toka wakati wa ukoloni wazungu walijenga has a Nairobi hata fedha zetu Uganda na Tanzania zimejenga Kenya pia kenya barabara zake kwa ukubwa no ndogo kuliko Tanzania sisi barabara za maana zimeanza jengwa baada ya Uhuru
Hill lilikuwa in jina halisi so kwa sababu ya kuwatesa Waisreli na kumbuka kwamba wakati huo watumwa ndio walikuwa wanafanyishwa Kazi ngumu dunia nzima
BMT hawajakosea katika maelezo yao kwamfano Leo yanga yaendeshwa na katiba yake ambayo ndio muongozo shughuli zake zote za kila siku na wamiliki wa timu in. wanachama Hivyo endapo utaigeuza hio club kuwa kampuni basi ni dhahiri ile mambo ya katiba Hayata kuwepo badala yake kutakuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.