Kwa wapenzi wa Western Movies mnazikumbuka hizi? Hapa ndo Nyumban kwetu Sasa.

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
The Good ,the Bad and the Ugly. Hii ni moja ya movie za western/cowboys ambazo ni maarufu sana ikiigizwa na clint eastwood.

Kuna wanaowakumbuka bud spencer na terrence hill? Hawa wanazo nyingi sana zikiwepo " my name is nobody, double trouble,boot hill,crime busters,go for it na trinity is still my name,god forgives but i dont,they call me trinity,odds and evens n.k

Za akina bud spencer na terence hill wazungu walikuwa wanaziita italian spaghett. Zilikuwa zina action na comedy ndani yake.

Miaka ile tunaangalia sana sinema huko avalon, empire cinema n.k na baadaye zilipoanza tv channels nakumbuka sana CTN walikuwa wanatupa fursa ya kuangalia movies hizi. Ni moja ya movies zenye stories tamu sana miaka ile ya cowboys na ubabe.

Nlijikuta napenda sana movies hiz hasa kutokana na maneno yao ya kibabe na tambo mbalimbali.

Kwa wale waliyoiona django ina versions mbili old na hii ya miaka hii kama sikosei mwaka juzi au jana. Umeiona outlaws and angels?

Once upon a time in the west,red rives na shane.hii unamkuta george stevens.iangalie johnny guitar miaka hiyo kulikuwa watu wanaku lynch tu ikiwa una makosa.enzi zile za outlaws wa ukwel kweli. Kama huna shabaha na spees hauish miaka ming. Mtu anatembea ana pistols nne hivi zinaning'inia.

Yalikuwa maisha ya kibabe sana. Mi bado naangalia movies hizi.utamu wa story zake asikwambie mtu na kama unapenda misemo humu ndo kwenyewe. Wababe ndo walikuwa wanapata mademu wazuri miaka hiyo shauri yako mtoto wa mama.

Angalia no country for old men. Ha ha ha...ile miaka ukifika 70 yrs unashukuru maana ilikuwa ni guns tu ndo zinaongea.labda uwe mtoto wa mama huna madhara yoyote kwa jamii yaani just a coward dog.

Ila kama ni kidume lazima upitie kashkash. Wanaziita westerns au cowboys. Tuwasiliane zaidi.
 
nimecheki hiyo outlaws and angels in story nzuri sana. ila iko bloody kama the hateful eight.
 
Luna The Magnicent Seven ,Afistfull of dollars,Keoma wababe kama Anthony Steven,Jim Brown
 
Umeicheck the hateful eight? Ilikuwa niicheck jumapil nikaanza kidogo mwanzon nikaona kama imepoa sana. Mwanzo kabisa.nikaaicha nikaanza angalia crime busters

nimecheki hiyo outlaws and angels in story nzuri sana. ila iko bloody kama the hateful eight.
 
Umeicheck the hateful eight? Ilikuwa niicheck jumapil nikaanza kidogo mwanzon nikaona kama imepoa sana. Mwanzo kabisa.nikaaicha nikaanza angalia crime busters
nimeicheki, plot ya hiyo movie ni nzuri sana.
 
Kuna moja nimetokea kuipenda sana huwa hainiishi hamu kuitazama inaitwa Kill them all and come back alone, humo ni mkono mwanzo mwisho. Na utamu wa movie hii ni kwamba hutomuona mwanamke, humo ni wababe tu.
 
Sasa hiyo hainogi kama hamna KE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom