Recent content by Rukube

  1. Rukube

    JamiiForums Tanzania Ni ipi sababu ya mayai kuvunjika wakati yanachemshwa. Na je ni njia ipi niitumie ili kuzuia yasivunjike?

    Pia ukitaka kujua yai la kuchemsha kama limeiva unalizungusha kama kama unavyo zungusha sarafu kwenye meza likizunguka limeiva,yai bichi ukizungusha linadondoka
  2. Rukube

    JamiiForums Tanzania Ni ipi sababu ya mayai kuvunjika wakati yanachemshwa. Na je ni njia ipi niitumie ili kuzuia yasivunjike?

    Unakosea,unaweza kuwa unaweka kwanza maji halafu ndio unaweka mayai hivyo upelekea mayai kugongana au kugonga sufuria yanatengeneza ufa ndio yakichemka hupasuka,sasa lakufanya weka kwanza mayei kwenye sufuria halafu ndio uweke maji kwa taratibu
  3. Rukube

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Mpishi, Mshahara Milioni 1.-Kwa Balozi wa Uingereza nchini Tanzania

    Indian, Chinese, continental, tandoori ww sema unataka nn
  4. Rukube

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Mpishi, Mshahara Milioni 1.-Kwa Balozi wa Uingereza nchini Tanzania

    Tafadhari mkuu nipo on field 22 year's sasa
  5. Rukube

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Mpishi, Mshahara Milioni 1.-Kwa Balozi wa Uingereza nchini Tanzania

    Huyo aneipika kwa kuangalia madesa bado hajaiva
  6. Rukube

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Mpishi, Mshahara Milioni 1.-Kwa Balozi wa Uingereza nchini Tanzania

    Tupo ila mambo ni mengi,
  7. Rukube

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

    Bigi [emoji3] bigijii kaoa msukule
  8. Rukube

    JamiiForums Tanzania Ferre Gola: Mfalme asiye na nyota

    Sawa
  9. Rukube

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha mgahawa WASAFI FM kimejaa stori za maisha ya baba Levo

    Hahaha ebwana mm sio m,bishi kabisa na nimezaliwa na kukulia Kigoma pia huyo jamaa tumesoma nae Shule ya msingi,Kuna utofauti wa makabila Kigoma ila watu wanajumuisha wote kuwa wabishi
  10. Rukube

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha mgahawa WASAFI FM kimejaa stori za maisha ya baba Levo

    Sio wote wabishi,ila huyo jamaa alikuwa hivyo tokea kitambo Shule ya msingi Katubuka
  11. Rukube

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli gani kuhusu watoto wanaofuatana kuzaliwa kupenda kugombana?

    Mm pamoja na kuzaliwa 13 kwenye familia yetu ila ni yeye tu ndugu yangu ninae mfatia kuzaliwa ndio hata namba yake kwenye simu yangu haipo nawala Sina shida nayo
  12. Rukube

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa ndege raha sana

    Wape Antibiotics na grocose,pia hakikisha hawalowani na maji Kwa muda wa angalau miezi miwili ,pia wanahitaji joto zile week mbili za kwanza unaweza kuwawekea chungu Cha moto,pia wape starta ya broiler, hakikisha Banda lao linakua na wavu chini Ili wakichezea maji ya kunywa yanadondokea chini
  13. Rukube

    JamiiForums Tanzania Ferre Gola dynastie album

    Sio kujua tu tumeishi humo,Kila mtu na choice yake mkuu
  14. Rukube

    JamiiForums Tanzania Ferre Gola dynastie album

    Sioti nipo na akili zangu timamu
  15. Rukube

    JamiiForums Tanzania Ferre Gola dynastie album

    Pamoja mkuu
Back
Top Bottom