Ferre Gola: Mfalme asiye na nyota

Justine Marack

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
567
1,550
Huyu jamaa ni Mfalma we Rhumba za kweli. Ni mwanamuziki ambaye ukiwa mpenzi wa Rhumba lazima utenge siku maalum ya kusikiliza mziki wake. Bahati mbaya Dunia ya Sasa inataka vitu feki kuliko original.

Kama Dunia ingetenda haki, basi FERRE GOLA angekua juuu sana. Mfalme huyu hajapata heshima anayo stahili na wala nyote yake haiwaki inavyopaswa.

Gola anazo nyimbo nzuri zenye ushauri na kukupa maadili ya maisha. Mungu amtunze huyu Franco wa kizazi hiki.
Leo nimeamka na Rhuma ya Gola, nilipofika kwenye ngoma inaitwa "Qui vivra verra" imebidi niweke repeat mode.

Jamaa amelalamika sana juu ya haya maisha ya kubangaiza huku akiamua kumuachia Mungu aamue hatma yake.

Imejikimbusha ngoma zake zingine kama Maboko Pamba, hii nayo ni balaa lingine.

Jaribu kusikiliza Qui vivra verra, sikiliza mwanaume analia sababu ya maisha magumu, sikiliza guitar rhythm na Bass tulivu. Sikiliza solo yenye heskima na heshima.

Wimbo wa mwaka 2013 lakini utadhani umetoka Jana.

Team Golla kula Tano mwanangu.
 
Huwa nauelewa sana ule wimbo wake wa 100 Kilos! Ukipigwa niwapo maeneo fulani fulani hivi, huwa nafarijika sana.

Imagine upo kwenye mbuga ya wanyama kwa ajili ya uwindaji haram, unakuta swala anajipitisha huku na kule ili ulenge shabaha, na hivyo kwenda kumchinja na kula nyama! Bunduki tayari ina risasi za kutosha Halafu huo wimbo ndiyo unapigwa sasa!! Acha kabisa.😇
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom