Recent content by Rukie

  1. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

    KATAA NDOA KATAA Utumwa Kataa Stress
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna Homa za Kubana Kifua, Kichwa na Mafua mtaani zinapiga Watu kimya kimya

    Mimi pia nipo kitandani Leo siku ya 4
  3. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amesema anaenda kusalimia ndugu, baada ya kufika hapokei simu

    Huyu bila shaka amengukia kwenye mikono ya singo Maza maana hawakawii kukiwasha
  4. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeangukia kwa single Mother

    ''KATAA NDOA UISHI KWA UIMARIKE KIUCHUMI'' nimeipenda hii kauli
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tozo za lipa kwa simu mitandao inakomesha wateja au mawakala

    Dah hii huduma changamoto wateja wamehama na kuanza kutumia huduma za Lipa as if ni halali mi naona Bora makampuni ya simu wafute huu utaratibu kwa muda
  6. R

    JamiiForums Tanzania Nimepata ajira ambayo PAYE yake ni zaidi ya mshahara wa serikali nilioenda kufanyia interview Dodoma

    Umesahau ana gari na ana biashara nzuri
  7. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimetunukiwa tunda na mtoto wa kizungu guest za Manzese

    Hizi akili za marioo kijana kuwa makini utakua shoga fanya kazi
  8. R

    JamiiForums Tanzania Pos/Mashine za uwakala wa bank NMB & CRDB

    Boss umeongea sahihi ila binafsi kitu nilichofanya nilimtafuta wakala Ambae ana machine ya NMB nikatangaza offer yangu binafsi nilimlipa 1m lakini awali nilikuwa nimeunganishwa na NMB kwa simu Baada ya kuwa tumekubaliana tulienda Benki ya NMB Mimi nikawasiliana na Champion wangu tukahamisha...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kuwekeza hisa na kupata kipato kupitia company

    Hawa ni matajiri siunamuona boss wao Dr Chenza anatamba tu
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa NHIF baada ya kusitisha huduma ya Bima ya TOTO AFYA KADI

    Ile ni huduma lengo ni kutoa unafuu kwa raia tatizo wao wanataka kufanya kibiashara na wanapata ruzuku
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa NHIF baada ya kusitisha huduma ya Bima ya TOTO AFYA KADI

    Changamoto ya huu mfuko ni kutaka kujiendesha kwa faida wakati ni huduma ambapo mwananchi anatakiwa kufanya cost sharing
  12. R

    JamiiForums Tanzania Simba Bob Junior wa Serengeti apinduliwa na kuuawa

    Tazama maisha anayoishi binadam na mnyma ni sawa???
  13. R

    JamiiForums Tanzania Simba Bob Junior wa Serengeti apinduliwa na kuuawa

    Hapana kwa mujibu wa vitabu vya wanyama wote hawatowajibika kwa Lolote kwa kuwa hawana hakili atakaewajibika kwenda peponi na motoni ni Binadam kwa sababu ana akili
  14. R

    JamiiForums Tanzania Sasa ni wakati BOT mjitambue na kuondoa ada za mwezi zibaki za miamala tu

    We acha TU Mimi alafu wangekuwa wanatuma ujumbe wakikata pesa
Back
Top Bottom