Recent content by rugemaa

  1. rugemaa

    Mwenyekiti wa Bunge, Mary Mwanjelwa akataa Hoja ya Mwakyembe

    Tatizo la harrison nadhani ni ile kemikali. Iliathiri hadi mfumo wake wa reasoning.. Dkt Harrison alikuwa mtu smati sana ila kwa sasa anaboa. Mzee wa thesis
  2. rugemaa

    Hatimaye Zitto Kabwe akaa meza moja na UKAWA

    Asifanye chochote kwa kuwa kichwa chake kilibaki cjafema alafu kiwiliwili kikaenda ACT?. ZZK ni yule yule forever
  3. rugemaa

    Hatimaye Zitto Kabwe akaa meza moja na UKAWA

    Kwa hiyo mkuu ulitaka zzk akileta hoja yenye manufaa kwa taifa basi ukawa wasiiunge mkono?.
  4. rugemaa

    Mjadala wa Bunge: Wanahabari, Edwin Soko na Moses Mathew warushiana maneno makali studio za Star TV

    Yeyevni mwandishi wa Daily News.. Kuna tofauti gani kati ya daily news na tbc?. Lazima mr.Moses aishi ktk misingi ya bosi wake(serikali)
  5. rugemaa

    Wanaume ambao hawatumii pombe

    Mhe. Ishu ni wanywa pombe vs wasiokunywa pombe kwamba wanaume wasiokunywa pombe wanapenda wanawake. Hoja yangu ni kuwa km wanywa pombe hawapendi wanawake mbona machangudoa wamejaxana huko pande za vileo?
  6. rugemaa

    Zitto: Sipokei posho na wala sikimbii Bunge

    Wewe unapoteza muda wako bure kumwonesha kipofu kupatwa kwa jua. Ukiona mtu anapambana dhidi ya upinzani basi huyo ni mchawi wa demokrasia na ni wa kupuuzwa.
  7. rugemaa

    Wanaume ambao hawatumii pombe

    Malaya wa kike wanaojiuza wamejazana maeneo ya baa na club. Think twice ktk tafakuri yako
  8. rugemaa

    Yah: Uyoga, Vipepeo na Midoli Bunge la Watanzania

    Kwani lawama zipo kwa TBC au serikali ktk hili?. TBC inafuata maelekezo kutoka kwa bosi wake ambaye ni serikali ya CCM. Kwa hiyo ni rahisi kufanya editing kwa raw bunge session kwa mujibu wa maelekezo ya bosi. Tatizo watu tupo suspicious na agenda ya kutuletea recorded
  9. rugemaa

    Kama tabia za Wapinzani ni hizi, bora tusione kabisa Bunge

    Usijipime kwa walioendelea km UK.. hao wameendelea kila kitu. Hawafanyi mambo yao bila kuzingatia maslahi ya mataifa yao
  10. rugemaa

    Kama tabia za Wapinzani ni hizi, bora tusione kabisa Bunge

    Km upo umri wa 20+ basi najisikia vibaya kwa ulichokiandika km ndo upeo wako wa tafakuri ya ubongo wako. Tafakari sana
  11. rugemaa

    Azam Tv wazima matangazo ya bunge live kwa sababu za kiuchwara

    kodi yangu kwa azam ni 12000/= ninayolipia huduma
  12. rugemaa

    UKAWA kugomea Kamati za Bunge

    ni kweli kabisa maana kwa sasa mtu analeta uzi wa ugomvi wa kuku
  13. rugemaa

    UKAWA kugomea Kamati za Bunge

    Jamii forum ya kipindi hicho ilikuwa na watu serias kwa sababu ilikuwa na watu wazima wa tabaka fulani but now kila mtu ana uwezo wa kupata smart phone cheaply..
  14. rugemaa

    UKAWA kugomea Kamati za Bunge

    Hizo ndizo kamati mwiba kwa serikali.. angalia bunge lililokwisha ni wapi serikali iliumbuka
  15. rugemaa

    PINDA: Wabunge wa CCM jengeni hoja vizuri kuwakabili Wabunge wa Upinzani

    Mimi nilidhani wabunge wapo kuisimamia serikali na kutunga sheria.. Sasa mzee wetu pinda anataka wabunge wajiandae kwa hoja dhidi ya wabunge wenzao kisa ni wa upinzani.. Kwangu network haisomi kwa hili maana tunatarajia hili kuwa bunge la kuibua kashifa kwa ajili ya kumrahisishia mheshimiwa...
Back
Top Bottom