Recent content by Ruge Opinion

  1. Ruge Opinion

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiingereza kilishawagomea ndugu zetu wa kusini, hata kwenye hafla za kitaifa

    Ukweli unauma.
  2. Ruge Opinion

    JamiiForums Tanzania Gari ya kwanza Private kusajiliwa Tanzania

    Yes. Kila mji ilikuwa na mfumo wake: MZ = Mwanza BK = Bukoba IR = Iringa .....
  3. Ruge Opinion

    JamiiForums Tanzania People from USA & Europe are a big hope to many families in Tanzania when you visit, so welcome in Tanzania and to our families

    You must be dumb. Just one incident has led you to generalise on the whole race?
  4. Ruge Opinion

    JamiiForums Tanzania THE GUARDIAN: Madaktari Tanzania hawaruhusiwi kupima COVID-19 wala hata kutamka mgonjwa ana COVID-19

    May be you rejected him but you could not eject him. He is still around.
  5. Ruge Opinion

    JamiiForums Tanzania Kingereza ni changamoto kwa JF members, nyuzi za English hazisogelewi

    Utakosa mengi. Kiingereza ndiyo lugha ya maarifa. Kama inakupiga chenga mengi yatakupiga chenga.
  6. Ruge Opinion

    JamiiForums Tanzania THE GUARDIAN: Madaktari Tanzania hawaruhusiwi kupima COVID-19 wala hata kutamka mgonjwa ana COVID-19

    Kilangila, amused, perplexed, dumbfounded or what?
  7. Ruge Opinion

    JamiiForums Tanzania THE GUARDIAN: Madaktari Tanzania hawaruhusiwi kupima COVID-19 wala hata kutamka mgonjwa ana COVID-19

    'A country deserves the ruler that it gets'. Meaning who rules the country is a reflection of the kind of people he rules.
  8. Ruge Opinion

    JamiiForums Tanzania Walimu tulioajiriwa mwezi uliopita tumetelekezwa vituoni

    Atafungaje na anakwambia hana hela ya kula? Afunge kuvuta hewa?
  9. Ruge Opinion

    JamiiForums Tanzania Tanzania mercantile exchange: jambo zuri sana limeanzishwa

    Wewe ndiyo mwenye bangi kichwani unayerukia mambo usiyoyaelewa. Kuna njia nyingi za ku-consolidate mzigo ili kuweza ku-operate kwenye commodity exchange. Mifano: ushirika, mazao ghalani, private company, n.k. Hivyo kuwa na wakulima wadogo siyo kikwazo cha kuwa na commodity exchange. Ila hili...
  10. Ruge Opinion

    JamiiForums Tanzania Tanzania mercantile exchange: jambo zuri sana limeanzishwa

    Kuna njia nyingi za ku-consolidate mzigo ili kuweza ku-operate kwenye commodity exchange
  11. Ruge Opinion

    JamiiForums Tanzania Tanzania mercantile exchange: jambo zuri sana limeanzishwa

    Hili siyo soko la kuuza kiroba kimoja au kilo mia. Ni soko la mzigo mkubwa. Hivyo muuzaji na mnunuzi wote wanatakiwa kuwa na mtaji wa kutosha. Vile vile soko hili lina risk. Bei mliyofungia mkataba inaweza kumfaidisha mmoja na kumuumiza mwingine wakati wa kutekeleza mkataba. Lakini zipo mbinu...
  12. Ruge Opinion

    JamiiForums Tanzania Watanzania kuna kitu wanataka kumwambia Tundu Lissu

    Lazima ipatikane. Hitaipata ukiwa umelala kitandani. Itapatikana kwa jasho na damu.
  13. Ruge Opinion

    JamiiForums Tanzania Huu ni wakati muafaka wa kukifuta Chama cha Demokrasia na Maendeleo

    Wacha kukariri. Siyo kila mkusanyiko ni maandamano. Hiyo ni tafsiri potofu ya jeshi la polisi.
  14. Ruge Opinion

    JamiiForums Tanzania Huu ni wakati muafaka wa kukifuta Chama cha Demokrasia na Maendeleo

    Sanduku lipi? Tume ya Uchaguzi iliyopo haina uwezo wala nia ya kutayarisha uchaguzi huru na wa haki. Ni uporaji tu kama wa serikali za mitaa. Atapatikana Rais lakini si kupitia kura za wananchi.
  15. Ruge Opinion

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020

    Siku zote hizi leo ndio unampa taarifa? Kweli wewe kisogo chako kiko mbele ya uso.
Back
Top Bottom