Recent content by RugambwaYT

  1. RugambwaYT

    JamiiForums Tanzania Kwa nini magari yanayoingia Tanzania hutumia mafuta mengi mizunguko ya mjini kiasi cha kuwaumiza wanunuzi, hadi kuyaita majini au kuyauza?

    Mkuu, unapoamua kutumia your hard- earned-money kununua gari, hakikisha unafanya utafiti wa kutosha. Usiishie mtandaoni tu au kusikiliza maneno ya wauzaji. Brevis kutumia lita 1 kwa 11km za mjini ni ngumu. Same can be said kwa gari za miaka 2000 - 2012 zenye cc kuanzia 2,000 na kuendelea. So...
  2. RugambwaYT

    JamiiForums Tanzania Vijana wa 2000 ziheshimuni Subaru. Kama wewe ni dereva Morogoro Rd, Highway usicheze nayo

    Hapo sawa. Maana tofauti na hapo, ni kuhatarisha maisha tu bila sababu ya msingi.
  3. RugambwaYT

    JamiiForums Tanzania Kufananisha Subaru SJG na LC 300 series ni matusi!

    Mkuu, usiumie kichwa. LC300 ni next level. Ina speed sana kulinganisha na Land Cruisers za nyuma yake, na magari mengine mengi tu. Ila kwa upande speed, inazidiwa au inaweza kuzidiwa na magari mengine mengi tu. Hata ya Toyota, hasa yale yaliyotengenezwa kwa ajili ya mbio (e.g GR Corolla, GR...
  4. RugambwaYT

    JamiiForums Tanzania Subaru forester SJ5 / FB20 ni mgonjwa wa kansa anayetembea barabarani

    FB20 ya Forester SJ5 ya kuanzia 2015 haina hizo shida. Ukitaka uhakika, chukua ya kuanzia 2016 ile facelifted. Models za mwanzo ndio zilikuwa na changamoto zikiwa mpya. Nyingi zilikuwa fixed baadae, otherwise tusingeweza kuzinunua used zenye km zaidi ya 80k.
  5. RugambwaYT

    JamiiForums Tanzania Pancha kwenye upande wa tairi

    I hope umeshaweka. Wakiziba vizuri maisha yanaendelea tu. Tena kama safari zako ni mjini wala hakuna stress.
  6. RugambwaYT

    JamiiForums Tanzania Kapata Chuo Dodoma Asome Accounts Akiwa Amesoma PCB –Ushauri

    Wahasibu wengi sana aise! Kama amesoma PCB, nashauri apambane apate kozi itakayosaidia kuongeza nguvukazi kwenye sekta ya afya.
  7. RugambwaYT

    JamiiForums Tanzania M-PESA sio salama kabisa? Wakala anawezaje kuiba pesa ambayo tayari imeingia kwenye simu

    Kama una shida ya dharura, kuwasiliana na hawa jamaa kwa simu, social media etc ni kupoteza muda wako tu. Hautasaidiwa kwa wakati. Labda uende ofisini kwao ukapange foleni.
  8. RugambwaYT

    JamiiForums Tanzania Mitsubishi outlander, Subaru Forester au Harrier nichukue lipi?

    Nimewahi kuhesabu idadi ya Harrier kwa Dsm. Ni nyingi balaa. Nafikiri ukitoa IST, zinafuata Harrier kwa kuwa na idadi kubwa. Soon nitafanya hesabu ya Land Cruisers. Hasa Prado.
  9. RugambwaYT

    JamiiForums Tanzania Mercedes Benz wamezindua GLC yenye SUV ya umeme: Inakupa range ya kilometa 700!

    At least hii inaonekana kama gari. Sio ile EQS inayofana na vacuum cleaner.
  10. RugambwaYT

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kufunga Mfumo wa Gas (CNG) Kwenye Subaru Forester.

    Shida sio engine, ni gearbox. Ndio maana wamehamia kwenye CVT siku hizi.
  11. RugambwaYT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo ngoja nivisanue hivi vitoto va Gen Z

    Kabisa mkuu! Na sisi tunasumbuka sana sababu ni kizazi cha transistion kutoka analogia kwenda digitali. Tumezaliwa enzi mtu mwenye TV anaheshimika mtaani, sasa hivi kuna TV mpaka kwenye bajaj. Enzi zetu mtu akinunuliwa "Brick Game" anafeli mitihani yake yote, sasa hivi watoto wana PS5 na games...
  12. RugambwaYT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo ngoja nivisanue hivi vitoto va Gen Z

    Mkuu, hili jambo la kulalamika kukiona kizazi cha tofauti na chako kuwa hakiko sawa, halijaanza leo, na wala halitawahi kuisha. Kumbuka na kizazi cha mbele pia huwa kinashangaa sana mambo ya kizazi cha nyuma. Mfano, ulishawahi kujiuliza kwa nini wengi kati ya kina baba zetu walikuwa...
  13. RugambwaYT

    JamiiForums Tanzania Ndugu Pole Pole, ikawaje uendelee na Press ilhali nyumbani Pana msiba?

    Watanzania, na sio watanzania kama ulivyoandika.
Back
Top Bottom