RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,443
- 2,031
Hehehee! Mjini hakuna ishu. Linapiga kazi vizuri tu. Cha msingi utambue ukilema wake.Hapo unatembea na tiketi ya kifo,trust me hasa kama unasafari ndefu.
Hehehee! Mjini hakuna ishu. Linapiga kazi vizuri tu. Cha msingi utambue ukilema wake.Hapo unatembea na tiketi ya kifo,trust me hasa kama unasafari ndefu.
Mostly mjini mpaka lilipokwisha muda wake. Japo niliwahi kwenda nalo safari ya DSM-Mwanza na kurudi, kistaarabu lakini.Mkuu hilo lilitembea safari ya mkoa.
Au lilikuakwa route za mjini?
Ngoja nifanye hivyo, nikipata safari naligeuza speaMostly mjini mpaka niliipokwisha muda wake. Japo niliwahi kwenda nalo safari ya Dsm-Mwz na kurudi, kistaarabu lakini.
Ni kweli kabisa mkuu, zinafaa tu kwenye tair za pikipiki tena iwe imeanza kuchoka, ukiweka kwenye tair mpya ujue ushaiua,Haifai kabisa. Huwa inakauka na kujikusanya sehemu moja. Inaharibu wheel balance. Ukiwa safari gari litakuboa aise. Hayo madude hayafai.
Kabisa. Maana enzi hizo kila ukienda kuziba tairi jamaa lazima warecommend.Ni kweli kabisa mkuu, zinafaa tu kwenye tair za pikipiki tena iwe imeanza kuchoka, ukiweka kwenye tair mpya ujue ushaiua,
Hii dawa ingekuwa nzur bac kila mtu angeweka maana hakuna anaependa kupata pancha wakati OKO ipo ukitia inazibaaa....mwanzon watu waliishobokea ila baada ya kujua madhara yake walikimbia chap kwa haraka
Mkuu kabla ya kununua hilo tairi,uliangalia kama halijaisha muda wake? Tye's expiry date,Tairi ina miezi mitatu tu imechanika pembeni roho inaniuma kuitupa.
Labda na hiyo tarehe ya kutengenezwa inachakachuliwa siku hizi.Mkuu kabla ya kununua hilo tairi,uliangalia kama halijaisha muda wake? Tye's expiry date,
Tairi linaweza kua ni jipya halijatumika na lipo Dukani ila linakua limeisha muda wake wa matumizi,
Kwa kawaida tairi linatakiwa kubadilishwa miaka 6-10 toka siku limetengenezwa kiwandani,sio toka lini limenunuliwa Dukani.
mkuu hilo tairi kuwa na miezi 3 ni Tangu limetengenezwa kiwandani au ni tangu umelinunua wewe dukani.? maana muda wa kiwandani ndio wa kuzingatiwa..ama kama tuone namba za hilo tairi zipo kwa pembeni zipige picha tuzione hapa tuzisome..au umenunua brand za wachinaTairi ina miezi mitatu tu imechanika pembeni roho inaniuma kuitupa.
Kuna mzee ana uzoefu wa 30+yrs kwenye kuzipa pancha kaniambia 15K anaziba kwa moto ni uhakika na kanionesha matairi ya malori yanayosubiri kuchukuliwa baada ya kazi.
NB: Routes zangu ni mjini tu,gari linatembea 4000km kwa mwaka mzima maximum.
Vipi nipige RugambwaYT
Mchina kumkwepa ni ngumu mno hasa mkoani Chief kwa tairi za hizi gari ndogo!!mkuu hilo tairi kuwa na miezi 3 ni Tangu limetengenezwa kiwandani au ni tangu umelinunua wewe dukani.? maana muda wa kiwandani ndio wa kuzingatiwa..ama kama tuone namba za hilo tairi zipo kwa pembeni zipige picha tuzione hapa tuzisome..au umenunua brand za wachina
I hope umeshaweka. Wakiziba vizuri maisha yanaendelea tu. Tena kama safari zako ni mjini wala hakuna stress.Tairi ina miezi mitatu tu imechanika pembeni roho inaniuma kuitupa.
Kuna mzee ana uzoefu wa 30+yrs kwenye kuzipa pancha kaniambia 15K anaziba kwa moto ni uhakika na kanionesha matairi ya malori yanayosubiri kuchukuliwa baada ya kazi.
NB: Routes zangu ni mjini tu,gari linatembea 4000km kwa mwaka mzima maximum.
Vipi nipige RugambwaYT