Recent content by Rugaikamu

  1. Rugaikamu

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kuchaguliwa kujiunga na shahada

    kuhusu chuo mimi ni mwanafunzi nimemaliza diploma na G.P.A ya 4.6 ya information and technology nimeapply vyuo viwili wrote wajanipa majibu ukiuliza wanasema tatizo T.C.U kivipi na chuo chetu kilikuwa hakipo chini ya TCU kipo chini ya nacte ndiyo wakatupa A.V.N
  2. Rugaikamu

    JamiiForums Tanzania Maisha yako ni nini?

    Dunia ni nyumba iliyojaa kila aina ya mabadililo na imebeba wanadamu wa kila tabia, nashukuru wazazi huwa hawako mbali siku zote kuniambia watendayo walimwengu wema, ubaya na kipi chema kipi kipindi nikuwapo. Walinifundisha vitu muhimu kuhusu Mimi. 1.Mwili Wakaniambia mwili wako ni sawa na...
  3. Rugaikamu

    JamiiForums Tanzania Kilombero: Watuhumiwa 10 chini ya ulinzi kufuatia Diwani aliyeuawa kwa mapanga

    Watuhumiwa 10 chini ya ulinzi kufuatia Diwani aliyeuawa kwa mapanga Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro linawashikiliwa watuhumiwa zaidi ya 10 wa mauaji ya aliyekuwa Diwani wa Chadema, Kata ya Namwawala Wilaya ya Kilombero, Godfrey Lwena Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Ulrich Matei, amesema...
  4. Rugaikamu

    JamiiForums Tanzania Kikaangoni: Mnyeti na Makonda

    Serikali imesema inaandaa mwongozo kwa Wakuu wa Mkoa, Paul Makonda na Alexander Mnyeti baada ya kutoa matamko ya kusimamisha na kuvunja shughuli za mabaraza ya kata. Taarifa hiyo imetolewa na Katibu mkuu Ofisi ya Rais, Mussa Iyombe ambaye amesema. ” Tunakamilisha mwongozo kuhusu suala hilo...
  5. Rugaikamu

    JamiiForums Tanzania Baby Madaha: skendo ya Madawa ilivyomtesa

    MWANADADA kutoka kiwanda cha filamu na muziki Bongo, Baby Madaha ameeleza kuwa katika maisha yake hakuna kitu kilichowahi kumtafuna na kumletea shida kwenye familia yake kama skendo ya kutumia unga. Akichonga na Risasi Vibes, Baby alisema kuwa, skendo hiyo ilitokana na kushiriki kwenye filamu...
  6. Rugaikamu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania watia moto vifaranga wengine 5,000 kutoka Kenya

    wenzetu wako active kwenye maswala ya health care BOngo yameingia kitambo
  7. Rugaikamu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania watia moto vifaranga wengine 5,000 kutoka Kenya

    Vifaranaga 5000 vilivyokamatwa kutoka nchini Kenya vikiingizwa nchini kinyemela vimeteketezwa kwa moto ili kuepusha tishio la kuwepo kwa ugonjwa wa mafua ya ndege. Vifaranga hivyo vimekamatwa katika eneo la mpakani mwa Kenya na Tanzania, Namanga ambapo baada ya kukamatwa vifaranga wa kuku wa...
  8. Rugaikamu

    JamiiForums Tanzania Diamond amuweka matatani askari magereza

    hahahaha
  9. Rugaikamu

    JamiiForums Tanzania Vanesa mdee ataja mamilioni yaliyotumika kutengeneza MoneyMonday

    Mwanadada anayefanya vizuri katika sanaa ya muziki wa Bongo Fleva na sasa anafanya vizuri katika mauzo ya albamu yake inayojulikana kama MoneyMonday, Vanessa Mdee maarufu kama Vee Money ametaja gharama alizotumia kukamilisha albamu hiyo. Ambapo amesema kuwa albamu ya MoneyMonday mpaka...
  10. Rugaikamu

    JamiiForums Tanzania Aslay na Nandy kupelekwa Mahakamani

    Wasanii wa kizazi kipya Aslay na Nandy hatiani kupelekwa mahakamani kwa tuhuma za kufanyia kazi wimbo ujulikanao kama ”Subalkheri” ulioimbwa na kikundi cha Taarabu Asilia visiwani Zanzibar (Culture Music Club) bila ridhaa toka kwa kikundi hiko. Hayo yameibuka mara baada wasanii hao kutuhumiwa...
  11. Rugaikamu

    JamiiForums Tanzania Diamond amuweka matatani askari magereza

    STAA wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, anadaiwa kumtia matatani askari magereza mmoja ambaye jina halikupatikana mara moja, Ijumaa Wikienda lilishuhudia mkanda mzima. Ndani ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu katika Kitengo cha Ustawi wa Jamii, askari huyo alisahau kofia yake ya...
  12. Rugaikamu

    JamiiForums Tanzania Jaji atakiwa kuondolewa kwa kutomfunga jela mbakaji wa mtoto asiyeona

    alitakiawa afungwe
  13. Rugaikamu

    JamiiForums Tanzania Al-Shabaab yaendesha mashindano ya wazee kupiga risasi

    hapana
  14. Rugaikamu

    JamiiForums Tanzania Al-Shabaab yaendesha mashindano ya wazee kupiga risasi

    MUNGU SIO WA VITA
Back
Top Bottom